Chuo kikuu cha DSM, kuna kitu kinaitwa Pre entry, hii ni kwa wanafunzi wa kike katika course za sayansi na injinia. Wanafunzi hawa hawakuweza kufaulu vizuri sana kidato cha sita, hivyo wanafanyiwa masomo ya ziada kwa muda wa wiki 10 kabla ya wengine kufungua chuo, baada ya hapo wanafanya mitihani na watakaofaulu huwa wanaendelea na wanafunzi wengine wa kawaida. Tulikuwa tunawaita VD yaani viwango duni kwani hawakufanya vizuri kidato cha sita. Nakumbuka kuna mmoja wao alikuwa anatukimbiza darasani kwelikweli.
Mtoa mada sijui anawasema hao, au? Twisheni kama twisheni kwa wanafunzi wa kawaida, sijui ila kwangu haiingii akilini. Kama ni kweli basi twafwaaa. Ngoja nifanye upelelezi
Yani wewe sijui nikufanyeje yani,wewe ni masikini wa fikra sana.hao ni vilaza wanaitwa vidu pale coet...yani ni project ya mama mkapa kuwainua wanawake kwenye masomo ya sayansi, wanalipiwa ada mpaka accomodation na tuisheni ili kuwabust.
vidu kirefu chake ni viwango duni.
Lengo lake (pre entry) ni kuwasaidia wanafunzi wa kike katika kozi za sayansi na injinia, ili angalau taifa liweze kuwa na wataalam wa kike katika fani hizo. Kwa kweli imesaidia sana, kwani kuna wanafunzi wengi wa kike katika kozi hizo kwa sasa. Na wengi wao wanafanya vizuri.
Sorry kwa hiyo hii sio tuition ya darasani bali ni some sort of Pre University course?! but what the hell these girls are going to get out of it?mama joe, hili la coet si hivyo kama unavyolielezea.
Program (sio twisheni) inayoendeshwa coet kwa taarifa nilizonazo imelenga kuwasaidia watoto wa kike, kuwaandaa kwa ajili ya masomo yanayotarajiwa kuanza. Nia ni kuhakikisha wanamudu masomo yao na kuwahamasisha kuchukua masomo ya sayansi. Inawalenga watoto wa kike wenye maksi za wastani.
hao ni vilaza wanaitwa vidu pale coet...yani ni project ya mama mkapa kuwainua wanawake kwenye masomo ya sayansi, wanalipiwa ada mpaka accomodation na tuisheni ili kuwabust.
vidu kirefu chake ni viwango duni.
Sorry kwa hiyo hii sio tuition ya darasani bali ni some sort of Pre University course?! but what the hell these girls are going to get out of it?
kama ulipata Div 3 ukawa accepted into Univ do you need a pre- something to make you competent during the coming academic year or just you struggle to show that this time around you will do better? Je iko open? I mean ni mpango maalumu wa Chuo au vitu vya uchochoroni?
Hatuna nia mbaya but in this FISADI era, everything is possible in Tz.
Kwani ubaya wa twisheni ni nini?

Yani wewe sijui nikufanyeje yani,wewe ni masikini wa fikra sana.
Aliyekuambia kuwa kupata A's form six ndio viwango juu ni nani? au aliyefeli form six na hakupata nafasi ya kuingia chuo ni mjinga?Ndugu umeishi mazingira ya wapi wewe? ulaya kwa wazungu?
Wapo wengi sana walifeli darasa la saba na hawakuwa na mawazo ya kushindwa kama yako,waliendelea na shule na sasa ni watu wakutumainiwa kushinda wewe.
Kufeli level fulani sio kufeli mitihani yote au kufeli maisha.
Wapo watu kibao Chuo walipata Div one ni wadesaji wakuu hapo chuo,na wanatoka na first class vilevile kwa ajili ya udesaji.
Angalia kiini cha tatizo na ukate miziz na sio kupurura majani juujuu.
Kufeli mitihani katika level yoyote huwa na matokeo ya vitu vingi sana.
Acha kudharau na kucheka mtu yeyote ila jifunze kuyajua matatizo yao na kuwasaidia.
Na Mungu akubariki sana.
Thanks bht unajua mie naona wana wajaza vitu vingi mno kiasi mtoto anakuwa sie creative kwa sababu ya kukaa anaakariri bila kuelewa hayo mafundisho tu yasiyoisha, kumbe ni kusoma alafu unarudia tena exam ili upate chance ya kuingia chuo, mhh1 thanks and all the bestMAMA JOE ni vizuri kutaka kujua maaana anything and everything is possible in this dear country of ours!!!
Kwa ufahamu wanguni mpango maalum wa chuo
Yani wewe sijui nikufanyeje yani,wewe ni masikini wa fikra sana.
Aliyekuambia kuwa kupata A's form six ndio viwango juu ni nani? au aliyefeli form six na hakupata nafasi ya kuingia chuo ni mjinga?Ndugu umeishi mazingira ya wapi wewe? ulaya kwa wazungu?
Wapo wengi sana walifeli darasa la saba na hawakuwa na mawazo ya kushindwa kama yako,waliendelea na shule na sasa ni watu wakutumainiwa kushinda wewe.
Kufeli level fulani sio kufeli mitihani yote au kufeli maisha.
Wapo watu kibao Chuo walipata Div one ni wadesaji wakuu hapo chuo,na wanatoka na first class vilevile kwa ajili ya udesaji.
Angalia kiini cha tatizo na ukate miziz na sio kupurura majani juujuu.
Kufeli mitihani katika level yoyote huwa na matokeo ya vitu vingi sana.
Acha kudharau na kucheka mtu yeyote ila jifunze kuyajua matatizo yao na kuwasaidia.
Na Mungu akubariki sana.
Thanks bht unajua mie naona wana wajaza vitu vingi mno kiasi mtoto anakuwa sie creative kwa sababu ya kukaa anaakariri bila kuelewa hayo mafundisho tu yasiyoisha, kumbe ni kusoma alafu unarudia tena exam ili upate chance ya kuingia chuo, mhh1 thanks and all the best
Gosh! am speechless, asiye na hela ndo atafanyeje? wakike watajiuza na wakiume wataiba etc, God forbid. njaa gani hii waalimu?Tuisheni ninayozungumzia ni wanachuo wa chuo kikuu cha dar es salaam, sehemu ya mlimani yaani "watoto wa mkandala" nenda changanyikeni kituo cha daladala cha bondeni, iliza madarasa wanayosomea wanachuo utaoneshwa. Madarasa yanajaa kama tution za mkandawile enzi zile
Inategemea unaongelea levo gani brother kilemi. researcher ndiye nadhani anatakiwa ajitafutie mwenyewe vitu gani asome na kwa staili ipi. Kwa mwanafunzi (pupil au student) hata awe wa PhD anatakiwa apate mwongozo na msaada wa mwalimu wake (tuisheni)Twisheni humkosesha mwanafunzi muda ya kufikiria na kusoma vitabu vingi(kutafuta material mwenyewe)
maswali kumi kivipi, sijakuelewa point yako. kutunga mtihani mrahisi hilo sio tatizo la twisheni bw.kilemi, huo ni uzembe wa mtungaji mwenyewe.kumbuka maswali yanayoulizwa kwenye mtihani ni kumi tu, kati ya uliyosoma miezi 4(semista 1), hivyo ukitafuta majibu ya hayo maswali kwa msaada wa mtu mwingine(mwalimu), kamwe hutakuwa na uwezo wa kufikiri, utakuwa tegemezi daima!
bw.kilemi pupil na student wote wanasaka elimu. tofauti ni level tu ya elimu wanayoitafuta.Kama wewe ni mwanafunzi mwuulize mwalimu wako tofauti ya manrno haya "pupil" na "student"