Tuition Center: Eneo linalofaa kwa Tuition Mbagala linahitajika

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,306
3,550
FAM

Inatafutwa sehemu inayofaa kwa Tuition Center.

images (1).jpg

Maeneo ya Mbagala DSM kuanzia:

A) Mbagala Mission mpaka Mbagala Mzinga
B) Mbagala Rangitatu hadi Charambe kwa Mbiku.

Sehemu yoyote iliyo na majengo mazuri yanayofaa Tuition na Pre-Form One kwa ujumla.

Yakiwa karibu na balabala ya Kilwa Road nzuri zaidi na yakiwa karibu na Mbagala Rangitatu, Zakhiem au Kizuiani.
 
Mkuu inaonekana tuition zenyewe zitakuwa majanga. Imagine mwalimu wa tuition bado unaita barabara eti "balabala" je kwa upande wa lugha ya malkia si ndo itakuwa msiba kabisa!!
 
Mkuu inaonekana tuition zenyewe zitakuwa majanga. Imagine mwalimu wa tuition bado unaita barabara eti "balabala" je kwa upande wa lugha ya malkia si ndo itakuwa msiba kabisa!!
'Inatafutwa' sio 'natafuta'

Hakuna palipoandikwa mwalimu mimi matako yako tu yalivyokuwasha.

kama msomaji mzuri ungezingatia kila neno.
 
Bro naomba unielekeze eneo zuri la tuition centre
Punguza mtero halafu unisome vizuri dogo....Nenda pale Kipati opposite na St. Anthony, kuna centre moja nadhani siku hizi haipo active sana wanapaita GREAT VISION....Nenda pale waone wahusika unaweza ukaongea nao wakakuachia eneo..

Faida ya pale..Ni centre maarufu sana ya tuition so itakupunguzia gharama za kujitangaza kikubwa tu walimu wawe na ubora.
 
Kituo kikubwa sana now nahisi ni Shule kabisa...nitapacheki.
 
Back
Top Bottom