Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,262
acheni ujinga ...roma haikujengwa kwa siku moja....hamuoni fahari ...chuo kikuu cha pili afrika ya mashariki baada ya sua kuwa na tv yenu????...kiongeni mkono ...kuandaa vipindi ni gharama ....ni jukumu pia la wanafuzi kubuni mbinu nafuu za kuandaa vipindi kwa gharama nafuu....
mnajuwa kama china walisaidia vifaa kwenye uanzishwaji wa tv mlimani....mlitaka tv mliamani wawe wanaji align na cnn??????
tangu lini mlimani wanafunzi wanaji align na mabeberu???
...Mkuu, muanzisha mada ana hoja. kinachoendelea pale sasa hivi pale Mlimani si TV yetu! ni tawi la CCTV. Ndio kitakachotokea pia Teleisheni ya Taifa. Tusiwe wanyonge kiasi hicho! Naamini kuwa Mengi alianzisha kituo chake cha TV kwa mikopo ya Benki, lakini hii haikuwa sababu ya kufanya matangazo ya Benki yaonyeshwe kwenye kituo hicho 24/7!
Asante kwa kutumia jicho lako la tatu vyema,mimi naungana na wewe,na sioni umuhimu wa kuangalia hii tv tena bora niangalie miyeyusho ya kina joti!!Wakati harakati za kuanzisha mlimani tu zinaendelea niliona kuwa haya ni mapinduzi ya kitaaluma. Kinyume chake ni tofauti. Nasikia kwa vile wachina wana mkono wao hapo basi kila nikiifungua nakutana na cctv na simulizi za kichina. Hii ni hasara na matusi kwa jamii ya wasomi. Wanavyuo wana mambo lukuki ambayo wangeyafanya kupitia tv hiyo kutegemeana na fani zao. Mfano wale wa FPA wangetuonyesha sanaa, wale wa uhandisi wangetuonyesha ufundi wao. Wa siasa wangetuonyesha midahalo na namna ya kujenga hoja, n.k. Pia wanavyuo wana matatizo mengi. Nawaona muda wote. Accomodation kwao ni tatizo sugu. Sio kwa sehem ya kulala tu, pia viwango vya malazi ni duni. The issue of flexing capacity when demand is high. Wazungumzie library na nini kifanyike kuiboresha. Wazungumzie ubora wa walimu. Sasa wanawaachia wachina tu, na sie tutawaachia tv yao. Tunataka watengeneze vipindi vinavyoakisi yale wanayojifunza. Bila hivyo watz hasa wasomi watajua sarakasi za kichina na tamaduni zao kuliko tamaduni za kitanzania. Kwa maana hiyo hakuna sababu ya kuendelea kuingalia hii 'cctv'
acheni ujinga ...roma haikujengwa kwa siku moja....hamuoni fahari ...chuo kikuu cha pili afrika ya mashariki baada ya sua kuwa na tv yenu????...kiongeni mkono ...kuandaa vipindi ni gharama ....ni jukumu pia la wanafuzi kubuni mbinu nafuu za kuandaa vipindi kwa gharama nafuu....
mnajuwa kama china walisaidia vifaa kwenye uanzishwaji wa tv mlimani....mlitaka tv mliamani wawe wanaji align na cnn??????
tangu lini mlimani wanafunzi wanaji align na mabeberu???
Mie nilidhani ni tv station ya wachina ina train wanafunzi wa udsm