Tuisapoti Taifa Stars iliyopo huko Afrika Kusini kwenye michuano ya COSAFA

INA maana mpk sasa tz tuna point 4 syo mbaya...mechi inayokuja tunakipiga na nani

Ova
 
Livescore wanatuambia ni friendly match hii hiyo cosafa imekaaje tena? Nakumbuka tulishaambiwa hatutakiwi kushiriki hayo mashindano last time nakumbuka timu ikaenda hadi Zimbabwe ikakatazwa lakini wakacheza hivyo hivyo ati friend match tukafungiwa nakumbuka na pia Zimbabwe walituchapa ITV nadhani walionesha

Screenshot_2017-06-27-23-55-10.jpg
 
Hizo nguvu za kuwashabikia bora ungefanya jambo jingne hii timu yetu huwa haijielewi kabisa
 
Kama tunataka mafanikio, Coach afanyie kazi haya.
1. Mbaraka Yusuf awe anaanza dk 90 za mwanzo.
2. Maguli, Ulimwengu wamechoka
3. Dk 20 za mwanzo coach afanye maamuzi ya sub ya mapema sio kusubiri weee
4. Msuva acheze namba yake ya kawaida
5. Tubadili fotmation. Hii ya mshambuliaji mmoja wa mwisho, hapana haifai.
 
Kama tunataka mafanikio, Coach afanyie kazi haya.
1. Mbaraka Yusuf awe anaanza dk 90 za mwanzo.
2. Maguli, Ulimwengu wamechoka
3. Dk 20 za mwanzo coach afanye maamuzi ya sub ya mapema sio kusubiri weee
4. Msuva acheze namba yake ya kawaida
5. Tubadili fotmation. Hii ya mshambuliaji mmoja wa mwisho, hapana haifai.
Nakuunga mkono..Ulimwengu kachoka asee nadhani majeruhi yamepiga vibaya.pia msuva acheze kwenye nafasi anyoimudu vizur..Mbaraka aanze kabisa maana dogo ana kasi na akili saana..
 
Kocha aangalie namna ya forward yake kuwa na makali zaidi, game ya Angola hawa kuonekana kabisa walichofanya
 
We want results not excuses...
Wajitahid jaman watupe raha tumeishia kushangilia timu za wenzet coz ya kwetu inaboronga kila uchao
 
Naomba mnijuze wadau muda wa mechi hio ni saa ngapi? Maana kwenye mtandao wa ratiba wameandika 03:00,yaani alfajiri ya kesho.Mi naona haiko sawa,nijulisheni mnao jua pls.
 
Mwanzo mwisho..vijana wako robo .tunampiga mzambia tunaingia nusu f
 
Tutabana sana kwa Zambia ila dakika ya mwisho namba tisa wao atatumaliza kwa mpira safi wa kona huko na kututoa kabisa kwenye michuano, teh teh nawaza tu.
 
Back
Top Bottom