Tuisaidie mawazo serikali ili isiwe tegemezi

pulupu

Member
Aug 14, 2015
31
8
Kwanza kuwe na mipango ya Muda mrefu na Muda mfupi ambayo kila awamu ya utawala itasimamia ili kuepuka manyanyaso ya wahisani Mara mkubali ushoga lakini tuwe makini wasiturudishe kwenye sifuri kama mzee mugabe
 
1. Utawara bora. Uendelee
2. democrasia ya kweli Iwepo. Tatizo lilianza enzi ya bunge la katiba
3. Zanzibar kuondoa siasa za umimi tu.
DAWA KATIBA MPYA Yenye dira ya kitaifa mengine yatajijaza humo.
 
Back
Top Bottom