Tuipe jina gani timu ya taifa stars!

Tuipe jina gani timu ya taifa stars!

kutokatoka football au kitimtimu football club, au ingeitwa kichaa serengeti football
Kutokana na kufanya vibaya kwa timu ya Taifa wakati fulani Rais Msataafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuipa jina '' KICHWA CHA MWENDAWAZIMU''

Sasa mimi kutokana na kuiona mara ifanye vizuri mara ifanye vibaye nimefikiria jina ambalo naweza kuinikiname

'''''''''''''''''''' PRESURE INAPANDA PRESURE INASHUKA''' Wewe unaiitaje?
 
Back
Top Bottom