Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Wakuu wa Nchi Mimi ni mshabiki wa Simba kwa hapa TZ na kwa EPL ni Chelsea .Lakini kwa sasa naona hizi club kubwa za ENGLAND mwaka huu kidogo tu wameteleza ,kwa hiyo naombeni tuwaombeeni hichi kitimu kidogo ambacho msimu uliopita walikuwa alimanusura washuke daraja .Mimi kama mimi nimeona na wao wachukue ubingwa wa EPL kwa mwaka huu sio tuu timu kubwa miaka nenda rudi ,nawatakia Leicester City ushindi hapo kesho Mwenyezi mungu akipenda wachukue UBINGWA .PLEASE HAMNA KUKWAZANA WAHESHIMIWA WAKUU WANGU
JUST FOR A FUN SIO WATU WANACHEZA OT NA WATU HAPA TZ WANANUNIANA ,