Tuikumbuke Mv.Bukoba na kujiuliza, nini kiliizamisha?

Kimeo

Member
May 19, 2009
77
11
Kama mnavyoelewa kesho ndo kumbukumbu ya kuzama kwa MV.Bukoba naamini bado tuna maswali mengi ya kujiuliza ambayo hayajapatiwa majibu.bado tunawapa pole wale wote waliofariki,kupotelewa na ndugu pamoja na manusura,ni matumaini yetu kwamba ipo siku machozi yao yatapata majibu.
 
Back
Top Bottom