rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,428
- 26,331
Hujaisikia sababu baada ya hiyo kauli kutolewa na kuandikwa na gazeti la mwanaspoti waandishi waliichukulia poa nina hakika hata kauli ya Eymael usingeipata kama sio waandishi wa habari kuikomaliamimi mbona sijasikia, kasemea wapi na kwenye mazingira gani? mazoezini, mkutanoni, kwenye mechi au wapi!
Mbona Mwenyekiti wenu wa wakati huo Ismail Aden Rage aliwaita nyinyi mashabiki wa Mwamedi fc "Mbumbumbu" lakini hamkumchukulia hatua yoyote!!Kuna kauli imetolewa na SENZO ambayo imeripotiwa na baadhi ya vyombo vua habari ikimnukuu akisema "kuna baadhi ya Watanzania ni mavuvuzela", mwisho wa kunukuu.
Aliyekuwa kocha wa yanga alitoa kauli ua kuwaita washabiki wa Yanga uneducated.
Baada ya kauli hii tulisikia vyombo vya habari vikija juu pamoja na washabiki wa Yanga kusema amewatukana Watanzania lakini kwenye kauli hii ya senzo pamoja na kuripotiwa na vyombo vya habari lakini sijasikia hata mwandishi mmoja akihoji, mashabiki wakihoji wala viongozi wa TFF wakihoji pamoja na kwamba neno lililotumika ni baadhi ya Watanzania likiwakilisha nchi.
Je, huu ni ulimbukeni au ni double standard au ni mtindo wetu wa kuwaruhusu wageni kututolea maneno yoyote wanavyojisikia?
Ila tukisema Eymael aliwaita yanga manyani mnakataa mnasema aliwqtukana watanzania lakini kwa senzo mlengwa ni manara, lakini kama mlengwa ni manara kwanini hakumtaja ila amesema baadhi ya watanzaniaMatusi yanakusaidia nini Senzo hakuwaita Yanga mavuvuzela ila manara ndiye aliyeitwa vuvuzela.
Uwezo wako ni utopolo kwani Eymael alivyoita manyani alisema katika mazingira ganiUwezo wako wa kufikiri ni sifuri hebu tueleze hayo maneno akuyasema katika mazingira gani chunguza Manara alisema nini mpaka Senzo kajibu vile.