Tuige mfano wa Mohammed Dewji

Ruaha

Member
May 30, 2012
28
3
Sio watu wote wenye hela wana roho nzuri, wakarimu, wanahuruma na waelewa.
Ila kiukweli Mohammed dewji ni mfano wa kuigwa kwa wanaopenda maendeleo. Huyu mtu namkubali sana. Si rahisi ku-deal na biashara za kimataifa, kiwa mwanasiasa + chuki za siasa, kuwa social na kuinteract na watu wa aina zote, katika umri mdogo, sio rahis. WaTZ tuache kuangalia mabaya ya watu tu pale mtunanapofanya jema tumsifie. Hata ile kuwahamasisha vijana kujituma ni mfano mzuri. Kuna watu kazi yao kitukana kulaani na kuchukua umaarufu bar kwa kulewa, kwenda club, n kuwa na michepuko. Na bado watatukana na hapa.
Mo dewji 👊

Happy Tanzanian 😄
 
hapo unasemaje? kafanyaje mpka kakufuraisha, na unaamua kumpamba? tuambie mnake naona hapa unasfia tu
 
Tafuta wafanyakazi wa kampuni yeyote iliyo chini ya Mo enterprise ndio utajua habar zake
 
Kaka angu kafanya kazi METL sa hivi hataki hata kuisikia, we mleta mada cjui unataka kutuambiaje! Unawajua hao watu wewe!
 
Kesi ya kuuziwa kiwanja cha bei poa mali ya TRC anahusika

kapewa mashamba meengi ya NAFCO zamani na hayaendelezi
kujimilikisha ardhi huku watu wanatafuta pa kulima hawapati

halipi kodi...anatumia connections kupata misamaha......
 
Hata bill gate anamaovu yake.
Nikipata nafasi ya kufanya kazi metl nitashukuru saaaaana.
Hata mengi, azam, kila mtu ana side B yake.
Kwasababu ya Mo mnaijua ndio mnashikilia vibendera juu kama ......

Muda wa kampeni bado mkuu. Umewahi sana.
 
Kaka angu kafanya kazi METL sa hivi hataki hata kuisikia, we mleta mada cjui unataka kutuambiaje! Unawajua hao watu wewe!

Kwenye ubepari lazima unyonyaji uwepo uwezi kuwa tajiri kama ujawanyonya wafanyakazi wako hivyo usilalamike ndio mfumo wa capitalism
 
Sio watu wote wenye hela wana roho nzuri, wakarimu, wanahuruma na waelewa.
Ila kiukweli Mohammed dewji ni mfano wa kuigwa kwa wanaopenda maendeleo. Huyu mtu namkubali sana. Si rahisi ku-deal na biashara za kimataifa, kiwa mwanasiasa + chuki za siasa, kuwa social na kuinteract na watu wa aina zote, katika umri mdogo, sio rahis. WaTZ tuache kuangalia mabaya ya watu tu pale mtunanapofanya jema tumsifie. Hata ile kuwahamasisha vijana kujituma ni mfano mzuri. Kuna watu kazi yao kitukana kulaani na kuchukua umaarufu bar kwa kulewa, kwenda club, n kuwa na michepuko. Na bado watatukana na hapa.
Mo dewji 👊

Happy Tanzanian 😄

Ushahidi upo wa biashara ya pembe za ndovu anayofanya Mo Dewji,ndiye anayeoongoza kwa kupata msamaha wa kuingiza sukari cement zenye misamaha ya kodi huku yeye METL akiwa ni wakala wa viwanda vya ndani vya sukari hapo hujagundua trick????hiyo ni mifano nichache bado anavyowaibia wakulima kwenye ununuzi wa mazao
 
Taja mema yake,ili watu waige ! Je,ana sifa gani za wema alizorithi kwa Mola ? Mabaya yake hatuigi !
Mpe salamu mhe.Mo.
 
Huyu katajirishwa na ccm .
Alipewa magodwn yale ya rtc mengi akayauza kwa bei mbaya na kujitajirisha kwa mgongo wa watanzania.
Aliingiza mali nyingi mbovu bila ya ushuru.kuna wakati alikua na tough na mrema wa njii hii lakini mrema alinyamazishwa
Amepewa mashamba makubwa kwa bei poa na mikopo ya chee ili ajitajirishe na wakuu wale
Amepewa nyumba nyingi na NHC kufanya ofisi zake
Na kwa ufupi ni mtoto wa kurithi tu mali kwa baba ake na yeye kufanya ubishoo wa kujionesha kama mjanja kumbe hamna kitu.
Kitu ambacho amekianzisha yeye ni Golden cresent insurance ambayo mpaka leo imekua ndio kampuni mbovu ya mwisho katika soko.hii kuonesha hayuko makini kibiashara zenye kuhitaji strategies za kitaalam na kisomi.
Yupo juu kwenye imports ma exports huko anacheza na tra ndio wanamtajirisha .hana ujanja zaidi ya huo.
Hivyo hiyo misaada anairejesha tu
 
Kama kuiba rahis na kupata misamaha ya kodi nanyi ibeni basi. 😁 roho mbaya sio mtaji. 😜

Happy Tanzanian 😄
 
Natafuta saaaannnaaa nafasi ya kufanya kazi metl. 😋😋😋

Wabongo kila mtu mbaya. Mengi mbaya, rostam mbaya, mbatia mbaya, mbowe mbaya, jk mbaya ccm mbaya, chadema mbaya, ukawa wabaya.
Aya sawa basi wana jamii foram njie ndio sio wezi, walipa kodi wazuri, hamjasaidiwa na serikali, nyie wakali 👊👊👊👋👋👋👏👏👏👏👍👍👍

Happy Tanzanian 😄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom