Kahumbi Lumola
JF-Expert Member
- Mar 3, 2012
- 359
- 2,569
Hii AMETT itakuja kuleta mabadiliko makubwa sana. Ni Association nzuri sana. Hao Vijana kwenye Picha ni sehemu ya Viongozi kwenye hii Association ya AMETT.
Kwa hatua ya sasa, Tuwape support ya kufuatilia events zao na zaidi tuweze ku-share
Leo wapo Dodoma watamaliza tar. 24 September
Tuwape support Vijana wenzetu
Kwa hatua ya sasa, Tuwape support ya kufuatilia events zao na zaidi tuweze ku-share
Leo wapo Dodoma watamaliza tar. 24 September
Tuwape support Vijana wenzetu