Tuhuma zangu kwa Lema

Wajinga Kama ninyi mlitakiwa Kuwa wabeba kuni polini nashangaa eti unasoma kwel elimu ya Tanzania haimkomboi Mtu Ainu tunazalisha wajinga

Na wewe kama kweli ni mwalimu basi wewe na wanafunzi wako wote ndiyo hali hiyo hiyo unayojaribu kuinyooshea kidole!
 
majitu yale yale, machumia tumbo ya Arusha mjini, amerudishiwa ubunge ndo mnaanza tena......mbinu zenu za kimagamba zimepitwa na wakati...........msomi usiyeeleweka, nyie ndio mnaenda kuchukua elimu na sio kusoma
 
hili ndio tatizo la cdm hasa member wake humu jf.wote walio jibu hakuna hata mmoja mwenye positive mind au tu wa kusema kwa kauli za kiungwana .tatizo nn wana jf tuwe magt hapo kuna upuuz ila pia kuna la kuangalia

wewe umejaribu kuonyesha positive mind bravo!au umeme umekatika kabla ujamaliza?
 

wewe ni mja wazawa wenye historia zaidi yako walitumia haki yao ya kimsingi na wewe ulitumia yako shida iko wapi?
 
UDSM isilaumiwe kwa makosa binafsi. Tulaumu mfumo wa elimu ambao haumjengi mhitimu kiakili, kimaono na uchanganuzi wa mambo. Je mnajua siku hizi UDSM haichagui yenyewe wanafunzi wanaojiunga pale bali wanapelekewa na TCU? Je mnajua wale wanaoletwa na TCU ni matokeo ya shule za kata zile zinazopokea wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika?wakifika sekondari ndo wanajifunza kusoma na kuandika. Wakifika chuo kikuu wanajifunza kufikiri na kuchanganua mambo. Lakini kabla hawajafuzu vizuri miaka mi3 ya kuwa chuo inakuwa imekwisha kwa hiyo wanakuwa wameiva nusu.
 
Kazi ipo, vijana wanatumika , hata wao hawajui kusoma nyakati kama wazee, unapost ujinga kama huu, mmechelewa rudisheni hizo change hatudanganyiki.
 
Eti yupo chuo! hata hiyo English haina kituo wala koma ! bora liende!! jipange upya kijana .
 

Viongozi wenu sio malaika kama mnasikia mazuri yao.nahayo mabaya yao yadikieni tu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
baada ya kuandika haya so what? hujasema tukusaidie vipi na ulikuwa wapi siku zote kutoa lawama zako
 
Hii ni lugha gani umeandika hapa??
Is it English or a language similar to English???
Aise pale UD ulisoma certificate au Diploma-ya nini???

that is real happen and i cant talk more on this if you don't satisfy just email me ,the aim of writing this is to make people know and not to make confusion with you people all in all massage sent
 
Hahaaaah! kumbe huyu ni mchina wa Kibongo?? Alikuwa hajasema!
ila wachina orijino wanatumia Kichina chao vizuri, vivyo hivyo tunategemea mbongo halisi kutumia kiswahili fasaha!
NB: Umakini ni Dalili njema ya kuwa na afya njema ya akili na uwezo wa kufikiri!

Na wachina wasiojua kuandika kiingereza lakini ni wasomi wazuri unawaweka kundi gani ?
 
Tusidanganyane! Kama university graduate hawezi kujieleza vizuri kwa lugha ya Kiingereza atakuwa na walakini mkubwa; na tena anapodai ametoka UDSM it makes matters worse. :mwaaah: :fencing:
 
kweli we ndio wale wanaouza nchi kwa kupewa suti yaani dar kote haujaonaga lodge kwahiyo ungehongwa malazi namagamba manake ungekubali kura zichakachuliwe hufai kuwa mpambanaji kauze mandazi sokoni
 
Hizi ni porojo.Kama umekosana nae kwanini usimpigie simu mkutane muyamalize kuliko kuyaleta humu?
 
Hizi ni porojo.Kama umekosana nae kwanini usimpigie simu mkutane muyamalize kuliko kuyaleta humu?
hivi huyo mnyonge anaweza thubutu kumwambia lema chochote. ameamua kuja kujitolea dukuduku lake hapa kwa sababu hana jinsi. mbona ukweli upo wazi kuwa dogo hana ubavu wa kupambana na lema. tumia akili kufikiria mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…