Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
hili ndio tatizo la cdm hasa member wake humu jf.wote walio jibu hakuna hata mmoja mwenye positive mind au tu wa kusema kwa kauli za kiungwana .tatizo nn wana jf tuwe magt hapo kuna upuuz ila pia kuna la kuangalia
Kwanza niwasalimu wadau wa jamii forum,
Kiualisia jamvi hili ni muhimu kwa watu tunayoipenda Tanzania yetu umekuwa uwanja wa kusifia mazuri yanayofanywa na baadhi ya viongozi wetu,na kukemea mabaya yanayofanywa na viongozi.
Binafsi nilimuona LEMA ni kiongozi jasiri anaye weza kututetea wana wa arusha achilia mbali elimu yake tunayoamini ni yakuunga unga ,vijana tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha anashinda na kweli alishinda tulifurahi sana sana,tuliona ukombozi upo ajira tutapata hospitali aliyoihaidi atajenga kituo cha kufundishia kingereza atakijenga kama alivyo ahidi,tulimpa mda na ushirikiano wakutosha lakini amekuwa na ZARAU hapokei simu na ata akipokea bhasi mimi leo ntakijikita kusema yale yote yalio nikuta wakati ULE ninaamini sana siasa za Tanzania nakumwamini lema kama kiongozi jasiri anae weza kututetea wana wa ARUSHA.
LEMA ni mtu anayetamka sana neo HAKI ZA BINADAMU pale zinapo vunjwa kamaana nyingine ni mpigania haki za binadamu pale zinapo vunjwa lakini na yeye ni mmoja wa viongozi anaye vunja haki za binadamu. LEMA ndio chanzo cha familia za waliopoteza maisha january 5/ 2011 kishi maisha magumu, aliahidi kuitunza familia zile lakini paka na kesho hakuna wanachokipa familia ile watoto wanakosa mahitaji muhimu pesa zinachangishwa laini haziwafikii walengwa lema ndio anayesimamia ukusanywaji na zina ishilia kwake huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, tulipe kisogo ilo tuendelee kuangalia upana kiuka haki za binadamu mwaka 2011 kulikuwa na uchaguzi mdogo igunga waliitajika vijana kadhaa kutoka ARUSHA kwa ajili ya uwakala, mdogo wake Lema(Nelson) alinipigia simu nakuniomba tunde pamoja igunga nilikuwa na ratiba yakujiandaa kurudi chuoni kuendelea na masomo kwani ndo tulikuwa tunafungua chuo(udsm).
Nelson aliniomba sana nivute siku 4 twende tabora sikuwa na shaka kwani siku izo 4 zilikuwa niza usajini ckuwa nashaka nikakubali nikiamini tutakuwa pamoja na Nelson (mdogo wa mbunge) ilikuwa siku ya ijumaa tulikutana offisini kwa mbunge nilitambulishwa pale kwa mke wa mbunge as a student and friend of Nelson (mdogo wa mbunge) Nelson na yeye alikuwa anajiandaa kwenda kuanza chuo kw hiyo wote tulikuwa student lakini kutokana na damu ya upendo kwa watanzania wenzetu tuliona ni bora tukaakikishe wanapata uongozi imara tukawasaidie.
Pale tulipo simu ya mke wa mbunge ikaita niliamini ni mbunge (LEMA) baada yakumaliza kuongea alikata simu alimwamuru Nelson kutokwenda Igunga kwani anajiandaa kwenda chuoni na kule kuna vurugu anaweza kuumia lakini mimi alikuwa akinishawishi niende hapata kuwa na shida kwani ataniunganisha na mbunge alinishawishi sana sikuwa na njia nyingine tukaanza safari tulitumia njoku express tulianza safari saa 12 jion nakumbuka tulifika saa 11asubuhi,tulipokelewa na kiporo cha wali,walituahidi kula vizuri na kulala vizuri lakini hakuna kilichofanyika tulilala kwenye magari wao walila lorge sisi tupo njee kiukweli haki za binadamu lema alizikiuka pale hakuna aliyopenda iyo hali miongoni mwetu kauli waiokuwa wanatupa etii sisi NI MAKAMANDA tuvumilie ukombozi unakuja hatukupenda ata kidogo.
Siku moja saa 8usiku lema aliwasha GARI akatuchukua watu wanane tukaenda umbali wa kama km 20 kutoka pale lodge tulifika sehemu kituo cha kupigia kura sio shule bali ni sehemu tu iliandaliwa maalumu kwa kazi hiyo,kumbuka hakuna umeme maji wala ulinzi wowote lema akasema tulale pale ccm wasije kuleta kura zao alafu yeye arudi lodge kiuanisia apo alikiuka haki za binadamu hakuna aliye kubaliana nae tukarudi wote lakini alikasirika kwa kuto msikliza tulirudi camp, wakati nipo camp nilipata hali ya kuumwa nikampigia simu Nelson (mdogo wa mbunge) ambaye yupo arusha nikamweleza hali yangu ya Afya.
Aakaniambie ngoja awasiliane na kaka (mbunge) aweze kunisaidia akawasiliana na kaka yake (Lema) then akanipigia akaniambie nimfate tuongee nilimfata lakini lema aligoma kabisa kuongea na mimi na kudai amepokea simu kutoka kwa nelson lakini yupo bize nimtafute badae badae kumtafuta hakutaka kunipa nafasi na uku anajua hali yangu ni mbaya kama alivyo elezwa na mdogo wake .

acha jazba wewe, lema alikataza mdogo wake asiende kwa sababu kuna vurugu. hebu nitajie ni vurugu/maandamano yapi viongozi waliwahi kuuawa? lema anajua jinsi ya kujihami lakini mdogo wake bado na ndo maana akamkataza. unabisha hata vitu vilivyowazi? we vipi? kalewe mbege huko. kumbuka pia alikuwa kwenye mtandao wa wezi wa magari, kwa hiyo amekwepa mengi.Hiyo safari nilikuepo mwanzo mwisho,unamsingizia toka lini ktk maandamano ya cdm arusha lema asiwepo?kama lema atakua fronti itakua mdogo wake?kama mdogo wake hakwenda lawama ni kwa mdogowake au lema mwenyewe? Acha upimbi wewe kwahiyo hayo malalamiko ya kuchonga kamsimulie mkeo hivi wewe ulisha wahi kuona mbunge anaenda jela kwa ajiri ya wapiga kura wake?mmbunge anapigwa mpaka kulazwa hospital kwa ajiri ya wananch kweli wewe kakojoe ulale
Kwanza niwasalimu wadau wa jamii forum,
Kiualisia jamvi hili ni muhimu kwa watu tunayoipenda Tanzania yetu umekuwa uwanja wa kusifia mazuri yanayofanywa na baadhi ya viongozi wetu,na kukemea mabaya yanayofanywa na viongozi.
Binafsi nilimuona LEMA ni kiongozi jasiri anaye weza kututetea wana wa arusha achilia mbali elimu yake tunayoamini ni yakuunga unga ,vijana tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha anashinda na kweli alishinda tulifurahi sana sana,tuliona ukombozi upo ajira tutapata hospitali aliyoihaidi atajenga kituo cha kufundishia kingereza atakijenga kama alivyo ahidi,tulimpa mda na ushirikiano wakutosha lakini amekuwa na ZARAU hapokei simu na ata akipokea bhasi mimi leo ntakijikita kusema yale yote yalio nikuta wakati ULE ninaamini sana siasa za Tanzania nakumwamini lema kama kiongozi jasiri anae weza kututetea wana wa ARUSHA.
LEMA ni mtu anayetamka sana neo HAKI ZA BINADAMU pale zinapo vunjwa kamaana nyingine ni mpigania haki za binadamu pale zinapo vunjwa lakini na yeye ni mmoja wa viongozi anaye vunja haki za binadamu. LEMA ndio chanzo cha familia za waliopoteza maisha january 5/ 2011 kishi maisha magumu, aliahidi kuitunza familia zile lakini paka na kesho hakuna wanachokipa familia ile watoto wanakosa mahitaji muhimu pesa zinachangishwa laini haziwafikii walengwa lema ndio anayesimamia ukusanywaji na zina ishilia kwake huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, tulipe kisogo ilo tuendelee kuangalia upana kiuka haki za binadamu mwaka 2011 kulikuwa na uchaguzi mdogo igunga waliitajika vijana kadhaa kutoka ARUSHA kwa ajili ya uwakala, mdogo wake Lema(Nelson) alinipigia simu nakuniomba tunde pamoja igunga nilikuwa na ratiba yakujiandaa kurudi chuoni kuendelea na masomo kwani ndo tulikuwa tunafungua chuo(udsm).
Nelson aliniomba sana nivute siku 4 twende tabora sikuwa na shaka kwani siku izo 4 zilikuwa niza usajini ckuwa nashaka nikakubali nikiamini tutakuwa pamoja na Nelson (mdogo wa mbunge) ilikuwa siku ya ijumaa tulikutana offisini kwa mbunge nilitambulishwa pale kwa mke wa mbunge as a student and friend of Nelson (mdogo wa mbunge) Nelson na yeye alikuwa anajiandaa kwenda kuanza chuo kw hiyo wote tulikuwa student lakini kutokana na damu ya upendo kwa watanzania wenzetu tuliona ni bora tukaakikishe wanapata uongozi imara tukawasaidie.
Pale tulipo simu ya mke wa mbunge ikaita niliamini ni mbunge (LEMA) baada yakumaliza kuongea alikata simu alimwamuru Nelson kutokwenda Igunga kwani anajiandaa kwenda chuoni na kule kuna vurugu anaweza kuumia lakini mimi alikuwa akinishawishi niende hapata kuwa na shida kwani ataniunganisha na mbunge alinishawishi sana sikuwa na njia nyingine tukaanza safari tulitumia njoku express tulianza safari saa 12 jion nakumbuka tulifika saa 11asubuhi,tulipokelewa na kiporo cha wali,walituahidi kula vizuri na kulala vizuri lakini hakuna kilichofanyika tulilala kwenye magari wao walila lorge sisi tupo njee kiukweli haki za binadamu lema alizikiuka pale hakuna aliyopenda iyo hali miongoni mwetu kauli waiokuwa wanatupa etii sisi NI MAKAMANDA tuvumilie ukombozi unakuja hatukupenda ata kidogo.
Siku moja saa 8usiku lema aliwasha GARI akatuchukua watu wanane tukaenda umbali wa kama km 20 kutoka pale lodge tulifika sehemu kituo cha kupigia kura sio shule bali ni sehemu tu iliandaliwa maalumu kwa kazi hiyo,kumbuka hakuna umeme maji wala ulinzi wowote lema akasema tulale pale ccm wasije kuleta kura zao alafu yeye arudi lodge kiuanisia apo alikiuka haki za binadamu hakuna aliye kubaliana nae tukarudi wote lakini alikasirika kwa kuto msikliza tulirudi camp, wakati nipo camp nilipata hali ya kuumwa nikampigia simu Nelson (mdogo wa mbunge) ambaye yupo arusha nikamweleza hali yangu ya Afya.
Aakaniambie ngoja awasiliane na kaka (mbunge) aweze kunisaidia akawasiliana na kaka yake (Lema) then akanipigia akaniambie nimfate tuongee nilimfata lakini lema aligoma kabisa kuongea na mimi na kudai amepokea simu kutoka kwa nelson lakini yupo bize nimtafute badae badae kumtafuta hakutaka kunipa nafasi na uku anajua hali yangu ni mbaya kama alivyo elezwa na mdogo wake .
Mkuu ungekua una akili timamu ningetembea uchi samora avenueacha jazba wewe, lema alikataza mdogo wake asiende kwa sababu kuna vurugu. hebu nitajie ni vurugu/maandamano yapi viongozi waliwahi kuuawa? lema anajua jinsi ya kujihami lakini mdogo wake bado na ndo maana akamkataza. unabisha hata vitu vilivyowazi? we vipi? kalewe mbege huko. kumbuka pia alikuwa kwenye mtandao wa wezi wa magari, kwa hiyo amekwepa mengi.
hivi kuandika kiingereza kizuri ndiyo usomi !?
katumwa na lumumba huyo dogo, hata kujieleza ni matatizo, nashindwa kuamini kama ni msomi kwelienhe tumekusikia, then? Mbona hueleweki unataka nini? Au bado unaumwa unataka ukatibiwe? Sema shida yako ni nini sasa?? Ebu jieleze ueleweke kama msomi dogo!
Pamoja na kubadilisha kwako language bado unajidhiirisha jinsi ulivyo mbumbumbu wewe pamoja na post yako hii.Jaribu tena baadaethat is real happen and i cant talk more on this if you don't satisfy just email me ,the aim of writing this is to make people know and not to make confusion with you people all in all massage sent
Kamsalimie dingi yako gerezani. Hawajamuharibu kweli?
Hahahahaha,
Mkuu kweli hawa jamaa ni misukule wao wanakwenda kama misukule tuu ukiwaambia kiongozi wao ana kasoro watakuporomoshea matusi utafikiri wana shehena ya matusi
Siamini kama huyu ni product ya udsm ., na kama kweli bsi elimu kwisha.
na ndio maana nauliza udsm ipi kama hii ya sasa basi sina wakati kupoteza kuendelea kutembelea uzi huu kwani nimejionea mengi R.I.P Prof. chachage pumzika kwa amani jembe la ukweli.UDSM ipi Mzee, ya enzi za Jenerali, Chachage, Warioba, ? Au hii ya washinda Kona bar-Sinza