Tuhuma za ukabila/ Ukanda zafutika CHADEMA

Tuhuma za ukabila/ Ukanda zafutika CHADEMA

Nimefuatilia hoja na shutuma za wabunge waliosigishana na wengine aidha kuondolewa au kujiondoa Chadema.

Jambo la kujivunia ni kwamba wote hawajatoa shutuma za ukanda ama ukabila. Kero kubwa wanayozungumzia ni misimamo mikali ya mwenyekiti Mbowe na Ruzuku.

Katika kipindi cha nyuma tungalisikia ooo uchagga ooo ukaskazini nk . Lijualikali, Silinde Cecil Mwambe Mashinji,Patrobas wote hoja yao ni Mbowe, Ruzuku Michango.

Inawezekana vyama vingine kikiwemo chama tawala vimekosa moral authority kuishutumu au kuchokonoa mambo ya ukanda na ukabila kwani huwezi rusha jiwe ukiwa kwenye nyumba ya kioo.

Inawezekana pia kuna ukweli uliotukuka kuwa mambo hayo ya ukabila hayopo katika chama hicho.

Vyovyote iwavyo Chadema ni mfano wa kuigwa kwa vyama vyote ikiwemo chama tawala kwa kuwa na sura ya kitaifa bila ubaguzi wowote.

Sent from my SM-T337V using JamiiForums mobile app
Wewe unamatatizo mengine. Sio hilo lililosababisha kutoa hii mada. Zaidi ya hayo wachaga na Wahaya ni kweli wanaukabila so utani.

Hii nchi isitawaliwe na mchaga wala mhaya na wala mnyakyusa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawishi ndani na nje my foot!
Acha kauli za kujifurahisha!

Kamuachaje mbali ilhali mmoja hapo ni Raisi wa Nchi mwenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya Taifa hili wkt Mbowe ni kiongozi wa Chama ambacho kila kukicha kinakimbiwa na viongozi, wabunge na wanachama wake!!??

Mmoja sasa hivi kaongeza ushawishi mara dufu zaidi kwa wananchi ndani na nje ya nchi baada ya kukataa lockdown ilhali mwingne alikuwa ana force lockdown isiyoungwa mkono na wananchi walio wengi

Acheni kufananisha Buggati na Passo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom