Kama mpaka wewe umejua aliwaibia Polisi bado hawajamkamata?Mbowe ziko wapi billioni 8 ulizowaibia wabunge kwenye fixed akaunti??
Sent using Jamii Forums mobile app
Za ndani ni kuwa mashambulizi kwa Mbowe yanapamba moto sana baada ya Mbowe kuudhihirishia ulimwengu huu kuwa kamuacha mbali sana Jiwe katika broad knowledge, hekima, busara, hata ujanja wa mjini.Hizo tuhuma zilipedwa, sasa hivi mashambulizi yote ni kwa Mwenyekiti wao, maana imeandikwa mchape Mchungaji ili kondoo watawanyike...
Wanachokosea ni kwamba Je wana uhakika Mh Mbowe anaowaongoza kondoo ba si Mbuzi...
Za ndani ni kuwa mashambulizi kwa Mbowe yanapamba moto sana baada ya Mbowe kuudhihirishia ulimwengu huu kuwa kamuacha mbali sana Jiwe katika broad knowledge, hekima, busara, hata ujanja wa mjini.
Mpango wa kumshambulia Mbowe binafsi ni kwa sababu Jiwe mwenyewe ndio jambo linalomfurahisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini pesa zikaibiwa kupitia fixed account ya chama na mtu mmoja tu?Mbowe ziko wapi billioni 8 ulizowaibia wabunge kwenye fixed akaunti??
Sent using Jamii Forums mobile app
Je CAG amethibitisha huo upotevu wa 8b? Vinginevyo ni maneno toka vijiwe vya umbea...Mbowe ziko wapi billioni 8 ulizowaibia wabunge kwenye fixed akaunti??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafurahi kusikia kuna chama cha ushindani kinachokubalika Tanzania nzima. Tufahamu kuwa chama tawala kinaweza kuwa na sifa mbaya ya ukabila lakini kikapata wafuasi kwa kutumia nguvu ya dola yaani mikwala ya polisi au kwa kutumia nafasi yao ya kugawa raslimali za nchi. Naamimi CCM ya sasa nje ya dola ingenuka ukabila na ukandaMleta mada swala ukabila na ukanda ndani ya Chadema lilikuwepo miaka ya nyuma kidogo.
Ilifikia hatua mpaka Makamu Mwenyekiti wa Chadema miaka hiyo Marehemu Chacha Wangwe aandike waraka mzito kuhusiana na Chadema na moja ya mambo aliyoyatuhumu tena kwa ushahidi mzito ni pamoja na Ukabila/Ukanda na matumizi mabovu ya pesa za ruzuku na michango ya wanachama ktk chama hicho cha chadema ( Tafuta waraka wa Chacha Wangwe uusome).
Kwahyo kwa nyakati za hivi sasa, angalau cdm imejitahidi kubalance mizania ktk kupunguza ukabila/Ukanda isipokuwa matumizi ya fedha bado ni changamoto!!