Tuhuma ufisadi Sh 31 bn za NBC kulipuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuhuma ufisadi Sh 31 bn za NBC kulipuliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kishalu, Feb 14, 2011.

 1. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  TUHUMA za ufisadi katika uuzaji wa Benki ya NBC 97 Ltd zinatarajiwa kuanza kulipuliwa kwa nyaraka moja baada ya nyingine, wakati kesho mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia atakapoanza kutoa uthibitisho wake mbele ya mahakama
  Source;Mwananchi

  Wanajamii mbona hili haliniingiii akilini
  Naomba msaada maana sasa naona kama kila shirika ambalo liliuzwa hisa zake kuna harufu mbaya ya UFISADI na ndiyo maana labda CCM hawataki kuachia nchi maana wakiachia tu mabaya yote yatawaumbua na Tz hawataweza kukaa maana hata KAGODA kumbe pia ni Manji anayejifanya kumshitaki Mengi kwa kumdai shs 1 alivyomwita fisadi papa

  Kweli haya yote hayatoshi tukaanza kama waarabu? Kuwaondoa viongozi wote madarakani?
  Sababu ni hizi
  1.Ufisadi kwa kila kiongozi
  2.Hamna kazi kwa vijana waliomaliza vyuo mfano walimu
  3.Serikali haijali wananchi wake
  4.Serikali haithamini kabisa maisha ya mtanzania wa chini
  5.Serikali inamwamini mgeni kuliko mzawa
  6.Maishi magumu kwa wanachi wa chini
  7.Garama za kuendesha maisha ya kawaida haziendani na kipato
  8.Serikali kushindwa kabisa kutatua njia mbadala ya kupata umeme wa kudumu kwa miaka 34 madarakani
  9.Serikali kutumia dola kuficha ufisadi
  10.
  11
  11
  12
  13
   
Loading...