Tuhuma nzito za Mange zisizo na ushahidi dhidi ya Rais, anafanya sawa?

Status
Not open for further replies.
Hana adabu kabisa huyo Mange, sijui kakulia wapi vile, Tafadhali sana atumie "HEKIMA na BUSARA", hata vitabu vitakatifu vimetutaka kuheshimu mamlaka zilizopo
 
Menge kavukaje vikwazo vyote vilivyopo baina ya geti la ikulu mpaka chumbani kwa rais aone vipigo huko !? Huyu jamaa ni CHIZI TU MZUSHI !
 
Menge kavukaje vikwazo vyote vilivyopo baina ya geti la ikulu mpaka chumbani kwa rais aone vipigo huko !? Huyu jamaa ni CHIZI TU MZUSHI !
Mcmlaumu mange jaman anaish kwa hstoria anajua wasukuma bla kupgwa huahajckii raha kabisaaa anaweza pka hata chakula kbch ilmrad apgwe
 
So in short, mama yetu anaonewa kwa kiwango hiki..?

Am unhappy..!! eehh

Siyo kuonewa bali anatunza kiapo chake mbele ya kasisi cha "........nitakupenda na kukutunza kwa wakati wa raha, shida na kifo tu ndicho........." malizia mwenyewe hapo mbele kwenye blank space
Am losing grounds to defend my President..!!

Am in coma..!! wait..!!

Don't lose ground to defend him, see his good side and defend him for that japo imesemwa na wahenga.....

...ubaya mdogo hufunika mema milioni moja!!
 
Hana adabu kabisa huyo Mange, sijui kakulia wapi vile, Tafadhali sana atumie "HEKIMA na BUSARA", hata vitabu vitakatifu vimetutaka kuheshimu mamlaka zilizopo

Lakini kwanza mamlaka yenyewe ijiheshimu na kuheshimu waliotoa mamlaka hiyo!!
 
Anavyoishi maisha yake binafsi nadhani ni binafsi, iwe kweli isiwe kweli, concern yetu ni jinsi anavyo run nchi, sio familia yake
Kama mke amepigwa, akamtembelea hospitali wakaombana msamaha yakaisha, sio business yetu hiyo

let Magufulis handle it

yani unavyoongelea yeye kumpiga mke wake kama ni kitu cha kawaida ni ujinga.
 
Huyo anapayuka tu dawa yake afundishwe maadili ya kutumia mitandao sio kama linalomjia kichwani mwake anatapika tu,
 
Mkuu mimi najiuliza, ikiwa kweli huyo dada ana ushahidi, inakuwaje? Watanzania tupo tayari kuujua ukweli wa hili suala au ni kheri lifukiwe haraka sana?
Iwe kweli au si kweli katiba yetu haimruhusu mtu yoyote kumshutumu rais akiwa madarakan au akistaafu,hivyo mange anamakosa tu
 
Iwe kweli au si kweli katiba yetu haimruhusu mtu yoyote kumshutumu rais akiwa madarakan au akistaafu,hivyo mange anamakosa tu
Hizo ni sheria za tz na kumbuka hayupo tz,.na hata km mkimtuhum kwa kosa hilo kumbuka kalitenda akiwa marekani kwa hyo atahukumiwa kwa sheria za marekani na kwa marekan alichokifanya sio kosa wao wana freedom of speech
 
Kama ni mtumiaji wa tweeter unaweza kuona matus anayoyapata bwana Trump, but no one cares kule kwao.
 
Hizo ni sheria za tz na kumbuka hayupo tz,.na hata km mkimtuhum kwa kosa hilo kumbuka kalitenda akiwa marekani kwa hyo atahukumiwa kwa sheria za marekani na kwa marekan alichokifanya sio kosa wao wana freedom of speech
Hata angekuwa mbinguni lakini kwa kuwa anyemshutumu yuko nchi nyingine na uraia wake wa kuzaliwa ni hapa Tanzania basi atarejeshwa nchini kuja kushitakiwa huku,hiyo ndyo sheri
 
Kama umewahi kusafiri nje ya nchi ile passport ina mashart yake,siyo ufanye unavyotaka ukimbilie nchi za watu halafu useme siwezi kukamatwa,utakamatwa popote duniani ndo maana kuna police interpol ndo kazi yao kudeal na watu kama hao
 
Ikithibitika kuwa kweli yule mama alipigwa itakuwaje? Mbona watu togauti ndio mnaotoka na kukana hii taharifa? Yule dada amezungumza na anajiamnini, Inatubidi tumpinge kwa fact sio kwa maneno ya kwenye kanga, kama UCCM umeuleta humu shauli yako.
 
Kiblog chake cha u-turn na ukurasa wake wa instragram amekuwa akipost na kudhalilisha watu kwa muda mrefu.

mwaka wa jana alikuja kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa jimbo la ubungo kupitia CCM na akakamatwa na jeshi la polisi kwa ciber crime. lakini kwa siasa siasa na kwa vile "anapigania chama dume akaachwa".

Wakati wa kampeni alimtukana sana Lowassa tena akamdhalilisha kwa kumwita "kaji.nyea".

Sasa amegeuka na kuvuka mpaka na kumtukana na kumdhalilisha rais Magufuli kuwa ni katili kamuua mwanae na anamtesa mke wake kwa kipigo. hizi ni tuhuma nzito ambazo mwenye akili timamu kwa mtu mwenye nafasi hata ya uDC tu hawezi fanya ujinga hue, sembuse rais wa nchi?

Tutafakari, Tusimpuuze huyu Mange kila wakati kuwa hana akili sawa sawa au anatafuta umaarufu. Akamatwe huko huko aliko hata kwa kuwatumia interpol.

Na dola ikipuuza, siku akitua Dar hata nipe Kibondo au nyasa au Bukoba nitahangaika nimdake peke yangu nimlete hapo central
Wakati ule alipomkashifu Lowassa mlilalamika pia? Yeye mwenyewe kasema katika utawala wake anatumia lungu
 
This is not fair......huyu dada hastahili kuendelea kuchekewa.

......sijui lengo lake ni nini...ila nasikia anakujaga Tz.....ni kumkata kidevu tu
Hivi kwanini hamkupendekeza akamatwe na kuchukuliwa hatua wakati ule alipomkashifu Lowassa? Mkuki kwa nguruwe?!
 
Hili nalo ni la msingi,ikithibitika ni hayo aliyoyasema huyu dada ni kweli je?
Hapo sasa huyo anayedaiwa kumpiga nkewe ndiye atakayekamatwa na kutiwa mbaroni kisha kufunguliwa nashtaka ya unyanyasaji wa kijinsia na kujeruhi. Na hapo hakuna dhamana mpaka february
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom