Tuheshimu hisia zetu tuache Unafiki!

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,737
Unapokuwa una hisia na kufanya jambo fulani kama unataka kucheka we cheka Tu,ukitaka kulia we lia usiangalie fulani atanionaje mimi nikifanya haya..kiafya huwa inasaidaia sana!
 
Hapo ndio mnapokosea,mwili unataka kucheka wewe umenuna huoni unasababisha msuguano!
 
Ni sawa mkuu usemavyo, ila inategemea na mazingira..Tujifunze kudhibiti hisia zetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom