Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,633
kumekucha watoa ushauri nasaha!!
Mkimaliza kutema povu mje jacaranda mshushie na ndovu
Hata ndovu yatoa povu...
kumekucha watoa ushauri nasaha!!
Mkimaliza kutema povu mje jacaranda mshushie na ndovu
sasa umu tunafundishana o tunatukanana na kupeana kashfa?
Nadhani jibu la wengi ni TUNAFUNDISHANA,
Sasa basi kama kunamtu anatoa maneno ya kashfa na ma2si hamna haja ya kujibu alicho andika,
Cha maana sana tumwache ajirekebishe
Hata ndovu yatoa povu...
You mean,disgracing each other is interesting?
karibu bana
kumekucha watoa ushauri nasaha!!
Mkimaliza kutema povu mje jacaranda mshushie na ndovu
Mkuu,ukizunguka humu ndani utakuta michango mingi sana ni ya kukashifiana,kudhihakiana,kutukanana,kufehedheshana n.k na sio hapa tu.ukienda kwenye jukwaa la siasa ndio usiseme,ni matusi matusi matusi.
Someone needs to put this in order.
Not neccessary interesting, but reality
Yaani ingewezekana member wa jf tukakutanishwa uwanja wa taifa, ungeshangaa tulivyotofautiana background na malezi.
So kuna saa mie mtu hujibu vibaya najiambia, labda nakasirishwa na mtu aliye kwenye dozi ya akili na kasahau kunywa dawa siku hiyo afu mie nakasirika, kwa hiyo huwa nachukulia ize sana.
Aise kuna watu wnakera mazee,yan kataja jina la mama yangu na ndugu zangu kwenye mfano,amenikera ikabidi nimwache aridhike na anachoamini,
Ha ha wapi huko shosti nataka nielekeze gari huko naona pipo zinapeana nasaha its gud 4 them nway wengine we dnt care
Si wajua mie si muumini wa hiyo mambo...
Hahahah...
Yote maisha tu mkuu, makelele ya mbu hayakufanyi ukose usingizi
Sangarara haihitaj kwenda shule kujua kwamba kwenye hii post ulilenga kuwasema wanawake. angalia kwenye green umesemaje?? halaf njoo angalia kwenye blue you will see the meaning of your article.Wasalaam wana JF hasa wa Jukwaa hili.
Natoa wito wa kuzingatia utu na asiri ya ubinaadamu wetu katika Mijadara yetu humu ndani katika kuhakikisha kwamba hatuvunjiani au kujivunjia heshima.
hapa umesema vyema sana sina neno napo kabisa.
Kutokana na sababu mbalimbali, baadhi yetu humu ndani wa/tumekuwa tukitumia lugha au matusi hasi sana tunapozungumzia jinsia tofauti na zetu, baadhi ya wanawake wanatoa lugha zenye kuambatana na kashfa na dharau kubwa sana kwa jinsia ya kiume vile vile baadhi ya wanaume wanatoa wanafanya hivyo hivyo.
Haya yote yanafanyika huku lugha au mantiki zenye kubeba dhamira ya ushawishi wa hali ya juu sana dhidi ya jinsia nyingine hasa katika maswala la tabia,Uwezo wa aina mbalimbali, n.k kiasi cha kusababisha jinsia husika inayoshambuliwa ionekane ni ya hovyo na isiyo na maana hata kidogo.
Mimi naomba nikumbushe kitu kimoja, kwa upande wa wanawake, wakati mnaponda kwa ukali kabisa jinsia ya kiume, je huwa mnakumbuka kwamba mna baba? na kwamba japo unapotowaka namna hiyo kichwani kwako huwa unaamini kwamba baba yako hausiki kwa sababu tu haiwezekani kutokea mkawa kwenye mahusiano ya mke na mme na baba yako lakini unakumbuka kwamba wachangiaji wengine wanapofikia hatua ya kukubaliana na wewe wao kwao baba yako ni sawa na wanaume wengine wote wasio baba zao kitu kinachopelekea uwe unamtukanisha baba yako mzazi.
Achilia mbali baba yako? vipi kuhusu mwanao wa kiume? utajisikiaje anapotolewa lugha kali kali za kashfa? au kaka yako? n.k
vile vile kwa wanaume, huwa tunakumbuka kwamba indirectly, kauli, na agenda zetu za kuwadhalilisha wanawake huwa zinawarudia mama zetu, au dada zetu, au mabinti zetu?
naomba tuheshimiane jamani, maswala ya tabia ni maswala mapana sana, na sote tunamapungufu,na tunategemeana sana katika kujenga jamii yenye furaha na imara katika kila nyanja ya maisha yetu, Japo tukumbuke kwamba sisi wote ni kizazi cha Adamu na hawa? wote ni dugu moja.
kumekucha watoa ushauri nasaha!!
Mkimaliza kutema povu mje jacaranda mshushie na ndovu