Jabman
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 1,005
- 1,337
Ndalichako tunakuomba ufute form four tuanze na cheti maana naona kijana Mako anafanya vizuri.
Hii ni kwa Zulu sababu Mako hakuwa na sifa ya kujiunga na cheti hapo Nyegezi lakini kwa kutumia sifa za MTU mwingine akakomaa na kufaulu hadi sasa ni degree holder.
Wapo wengi mtaani wanaohitaji kusoma kwa staili hiyo ila system inawazuia. Tunakuomba mama yetu mpendwa yafuatayo.
1.Ubadili utaratibu wasome wote kama Mako. AU
2. Ueleze umma kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha sheria, kanuni na taratibu na kwamba adhabi yake ni kifungo cha miaka 28jela na kazi ngumu. AU
3. Ukae kimya tujue huwezi kazi ya wizara.
Ahsante