Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,641
- 32,404
Wiki nzima imeongelewa CV ya Agnes Marwa, tumeiona na kiukweli CV yake ni ndogo sana, sasa ombi langu kwa members humu hebu tuangalie na CV za wabunge wengine na matokeo yao ya for m 4 na form 6 kama tulivyoweka ya Agnes Marwa.
Nashauri tuweke CV na matokeo ya mitihani kwa hawa wabunge; Mbowe, Joseph mbilinyi "Sugu" , Godbless Lema, Said Kubenea, Msigwa.
Tusaidieni kujua pia CV za watajwa hapo juu na matokeo yao ya form 4 na 6
NAWASILISHA.