Tufungue bongo za wanaohamia CCM! Tuangalie mafile Yao!

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,492
Kuna muhenga mmoja aliwahi kusema "Everything has a price"
Leo tumeona 'dogo' Elias Michael mbunge nje ya Bunge wa Buyungu Kwa tiketi ya CDM ameamua kujiunga na CCM.

Ukisoma between the lines kuna dark side inayowavuta shimoni hawa watu wa jamii hii. Wahamiaji wapo wa Aina 2, kuna wanaoenda Kwa njaa zao kabisaaaa mf ndg Moses Machali mkuu wa wilaya ya Nanyumbu na Kaka yangu Kafulila. Hawa njaa iliwanyoosha hasa na daima hakuna baunsa kwenye njaa. Aina ya pili ni watu kama kina Mtatiro, Mtulia, Dr Molel na mkuu wa wilaya wa Dodoma ndg Patrobas Katambi. Hawa walinunuliwa Kwa bei tofauti tofauti tena kama biashara ya watumwa, kama mnada yani.

How much did the buyer pay? Hii unahitaji ku-dig deep! Mwanasiasa kama Mtatiro was strong and guru katika upinzani na dau lake lilikuwa nono haswaa. Hii yote wanunuzi walikuwa wanatafuta namna nzuri ya kupunguza wapiga kelele nje ya darasa na wamefanikiwa.

Juhudi hizi zimepelekea democrasia kupalalaizi na sasa we have almost a teethless dogs ambao hata ku-organize maandamano hawawezi. Yaani wakitangaza tu maandamano, kubwa la maadui akiunguruma wapinzani huishia kuchungulia madirishani na kuandamania mitandaoni!

Simlaumu dogo Michael Eliah, he had also the price na real mnunuzi kafika bei na kaondoka huku akipewa shati kubwa la kijani kama turubai la Fuso kwenye Passo!
Najua moyoni anaumia kuona amemsaliti Marehemu Kasuku Birago na wana Buyungu ila ndo hivyo, pesa mwanaharamu! Unaweza kukuta CCM wamemuahidi kumrithi Eng Chiza as umri unamuacha na sharti ni awe wa kijani au atakuwa katishiwa beyond the capacity he could hold akaamua Bora asalimishe maisha yake! Serikali ina mkono mrefu na madaraka ni matamu! So, once a threat need containment or elimination!

Nitamatishe Kwa kusema kuwa hata wengi tuliomo humu kila mmoja ana bei yake! Siasa za harakati tuwaachie kina Che Guevara na Fidel Castro!! Ukibananishwa utayeyuka tu!
 
Kwa heri dogo!
FB_IMG_15734811442797456.jpeg
 
1 unapewa bei ukikataa unaongezewa tena
2 ukikataa namba moja unapewa vitisho
3 usipotishika unapewa jaribio la Mateo kidogo.
4 unaletewa dau tena ukikataa, unatumiwa TRA, Polisi, kikosi cha dawa za kulevya, unapewa wafuatiliaji lila ulipo wanajua.
5 vikishindwa hivyo ndugu wanatiwa kashkash mpaka mwenyewe utassurender tu
6 unafirisiwa vyote ulivyonavyo ili ufe njaa.
7 ofisi zote za umma zinagoma kukupa huduma yoyote utafanyaje mambo yako ?
8 unawindwa lila siku kukwepa kifo nani anaweza kufa kwajili ya udiwani tu ?

Kuna mzee aliwahi kuwa diwani wa CUF toka 2000 to 2015, 2016 aliamua kuunga juhudi nilimuuliza kulikoni hahaha ngoja nikae kimya.
 
Dogo alikuwa ktk option mbili tu mkuu, kuunga mkono juhudi au uhaini/ kifo.....RSO ndo msuka mipango akishirikiana na OCD, kwa ufupi tu dogo kaenda kuokoa maisha yake na familia yake!! Refer kesi ya kabendera
Achen kuichafua serikali ,dogo kaona Upinzani hakueleweki , Maneno mengi , na 2020 ni Giza tupu,

Na jimbo la buyungu lipo mikononi mwake soon

Uharakati acha afanye mbowe na kina mashinji wanaofaidi ruzuku
 
Umeongea ukweli

Hata lissu ana bei yake , itafikiwa tu

Haiwezekani mtu unapambania chama ,vyeo wanapewa wachaga na wapare

Lazima ujiongeze ,

Hatutafika 2020 , Yericko Nyerere atakuwa amevaa nguo za kijani

Duuu ww ndio uko na fungu la kuwanunulia hao jamaa? Kwa hiyo kumbe hawaji kwa kukubali utendaji bali huwa wanahongwa?
 
Achen kuichafua serikali ,dogo kaona Upinzani hakueleweki , Maneno mengi , na 2020 ni Giza tupu,

Na jimbo la buyungu lipo mikononi mwake soon

Uharakati acha afanye mbowe na kina mashinji wanaofaidi ruzuku

Mkuu unasema serekali inachafuliwa, kwani ni safi?
 
To be honest, Dogo kanikera sana sana! Tulimchangia sana kipindi kile aiseee! Nakumbuka nilichangia zaidi ya laki. Njaa hizi, unaweza kumkata MTU biology yake! Shenzy zake
 
Nimependa ulivyohitimisha. Mwanaume Che anataka kutandikwa risasi lakini jamaa ngangari tu anawapa za uso wauaji wake majasusi wa CIA kuwa sana sana watakachofanikiwa ni kumuua Che lakini kamwe siyo U-Che wake. Na kweli jamaa alikuwa sahihi japo kuna juhudi za makusudi za kumpaka matope na kumgeuza kuwa gaidi.

Siasa zetu hapa ni pasua kichwa tu. Ni kila mtu na tumbo lake. Tangu ile gia ya angani ya 2015 kwa kweli siasa wala hazinipotezei muda tena...
20180601_061123.jpeg
 
Mkuu umesahau factor ya kuwa-black mail..... nadhan hio ndio ilitumika kwa mtatiro na huyu kijana!

Black mail mbaya sana, unadhan kwa nini kina Mo wapo kimya!
 
View attachment 1260896
Mie nimebaki mpenzi msomaji na mtazamaji tu, Tanzania hatuna wanasiasa wenye uchungu na nchi, wengi wanatumikia matumbo yao tu.

Akina Che hawakuwa na bei Zaidi ya uzalendo, hawa wa Kwetu ni kama nyanya za Msolwa!
 
Mkuu umesahau factor ya kuwa-black mail..... nadhan hio ndio ilitumika kwa mtatiro na huyu kijana!

Black mail mbaya sana, unadhan kwa nini kina Mo wapo kimya!
Mo kaongea BBC!

Black mailing imeshindwa ku-work Kwa Lissu! Njaa tu
 
1 unapewa bei ukikataa unaongezewa tena
2 ukikataa namba moja unapewa vitisho
3 usipotishika unapewa jaribio la Mateo kidogo.
4 unaletewa dau tena ukikataa, unatumiwa TRA, Polisi, kikosi cha dawa za kulevya, unapewa wafuatiliaji lila ulipo wanajua.
5 vikishindwa hivyo ndugu wanatiwa kashkash mpaka mwenyewe utassurender tu
6 unafirisiwa vyote ulivyonavyo ili ufe njaa.
7 ofisi zote za umma zinagoma kukupa huduma yoyote utafanyaje mambo yako ?
8 unawindwa lila siku kukwepa kifo nani anaweza kufa kwajili ya udiwani tu ?

Kuna mzee aliwahi kuwa diwani wa CUF toka 2000 to 2015, 2016 aliamua kuunga juhudi nilimuuliza kulikoni hahaha ngoja nikae kimya.
Hiyo ndio CCM mpya
 
Back
Top Bottom