Mpiganaji tz
Member
- Jul 22, 2010
- 21
- 0
Njaa ni kitu kibaya yaweza kumfanya mtu uliyemwamini kwa siku nyingi akatenda jambo ambalo utashindwa kuliamini. Hebu fikiria mtu ameshinda urais znz na anafahamu kuwa kashinda lakini anaambiwa kuwa yeye ni mshindi wa pili na anaridhika huku akishangilia kitendo hicho kama zuzu! Je, wamepewa nini watu hawa safari hii wamekuwa passive kiasi hiki? Huo utaifga hawakuujua awali wakawa wanakomaa? Nadhani hii yote ni njaa imechangia, maana waambiwa adui mwombee njaa.....sasa kama mambo ndio haya, dr. Slaa atahimili temptetion za kiuchumi uswahilini hadi 2015? Kwanini tusimfungulie account tuwe tunaichangia imsaidie kum-keep stronger hadi 2015 atakapoikomboa nchi? Wadau mwasemaje?naomba kuwasilisha