donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
- Thread starter
-
- #81
hahahaaa...... Si ukweli lakini?
Nikweli, yaani nimewish ningekua nakula ugali mkubwa la mwidebe na mabele na kasato. Halafu nikishiba nianze kuimba : Kubyala ng'wana ngosha kwilolela bhanu kaganda kaganda....
hahahaaa... Kubyala ng'wana nkima kwilole bhanu kaganda kaganda kaganda,,,, ukubya na ghoni na ung'wana alebhi nalisundasusunda.... Aririririiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!
Hahaha aisee, hizi I'd za jf zinaficha mengi wewe sio mtoto wa bamdogo kweli?
hahahaaa...... Umeonaeeeh waweza kuta nachat na dingi angu mdogo hapa
Lool, mi nshawahi kuchimbana biti na mtu humu jf kumbe ni blaza wangu kabisa
hahahaaa...... Jf kiboko aisee
Napamiss home Magu!
hahahaaa nami napamiss Maswa aisee
hahahaaa nami napamiss Maswa aisee
Ulituma ombi ili mwenyekiti akutongozee?
Kwa hiyo kimsingi umekuwa somo zege sio?
Acha, kumbe we wa maswa?
we kama nakufahamu vile