Tufahamiane vibisa wa Chit Chat....!!!

Hahahaah! Hata ukiwa na mkwanja akiibuka mwenye mkwanja zaidi yako unapigwa chini vilevile.

Ndio mambo ya ngawira haya yaani, kule kwetu kijijini ukimhonga mtoto manumbu au michembe basi unaonekana boonge la mtu.
 
Aisee mkuu kama huna bahati ndugu yangu bora ujikalie mbali tu,,,,,,,mimi humu kila nikijitahidi napewa za mbavu,,,,,,,,nimeamua kuwa peke yangu hahahahaah!!

Hahahahahaaaa Katavi umenichekesha sana aisee
Hivi ulishawahi kujisogeza kwa nani vile? Ni Eliza wa Tegeta au nani?
Uje tuongee tuone namna ya kukusaidia mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ndio mambo ya ngawira haya yaani, kule kwetu kijijini ukimhonga mtoto manumbu au michembe basi unaonekana boonge la mtu.

Hakuna haja ya kutuhonga....we chagua mtoto mmoja wa ukweli then tangaza nia mimi nitasimamia show
Humu kuna watawa kama mwallu (Miss you) ambao wanahitaji mapadre hahahaaa kazi ni kwako!
 
Last edited by a moderator:
ama kweli umeamua kunitia katika majaribu
Hakuna haja ya kutuhonga....we chagua mtoto mmoja wa ukweli then tangaza nia mimi nitasimamia show
Humu kuna watawa kama mwallu (Miss you) ambao wanahitaji mapadre hahahaaa kazi ni kwako!
 
Hahahahahaaaa Katavi umenichekesha sana aisee
Hivi ulishawahi kujisogeza kwa nani vile? Ni Eliza wa Tegeta au nani?
Uje tuongee tuone namna ya kukusaidia mkuu

Ha ha a aah!! Mkuu Erickb52, ngoja kwanza nijipange then nitakuja kwa kasi, nadhani safari hii sintakosa...
 
Last edited by a moderator:
Hakuna haja ya kutuhonga....we chagua mtoto mmoja wa ukweli then tangaza nia mimi nitasimamia show
Humu kuna watawa kama mwallu (Miss you) ambao wanahitaji mapadre hahahaaa kazi ni kwako!

Hahaha daaah fanya mambo mkuu nichekie vacancy!
 
Last edited by a moderator:
ama kweli umeamua kunitia katika majaribu

Najua uko kwenye vita kali ya Roho na mwili....yan mwili unataka ila moyo hauko tayari mwallu
Relux pia ndo ni sacrament na utawa sio sacrament bali kukitolea tu....!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha a aah!! Mkuu Erickb52, ngoja kwanza nijipange then nitakuja kwa kasi, nadhani safari hii sintakosa...

Ukikosa kabisa unambie nikukabidhi mdogo wangu Nivea hope atakufaa sana mzee wa tabasamu
 
Last edited by a moderator:
Jitahidi kuzunguka huku na kule jukwaa la utambulisho kwa Katavi utawapata wengi tu...ingawa ye katoka kapa hahahaa

Daaah mkuu sasa kule si ni kwa amateurs
 
Last edited by a moderator:
hakikaa nitayashindaaa..umeamkaje lakini!
Najua uko kwenye vita kali
ya Roho na mwili....yan mwili unataka ila moyo hauko tayari
mwallu
Relux pia ndo ni sacrament na utawa sio sacrament bali kukitolea
tu....!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…