donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
- Thread starter
-
- #21
Hahahaaa hivi waganga wanasaidia? Zaman tulikuwa tunaambiwa ukikaanga mkia wa goromondo ule unga unga unampaka, au unamrushia demu eti lazma akupe mzigo, utoto bana.
Cc Katavi
Naomba sana, mashavu wanapewa wengine,
Wengine wananishauri sijui niende kwa mganga pengine!
nenda getini pale kwenye lango la JF kuna ma sistaduu na mabrazameni wanaingiaga kila siku, ukivutiwa na duu mmoja we mshike mkono mvalishe pete hapohapo
Hahaha, mi nliambiwa kuna dawa ya kimasai inaitwa Katongoro, hiyo yaani ukiitafuna halafu ukam-mention tu mtu kwa mfano Heaven on earth huko huko aliko mambo yanakua mambo. Unashangaa tu ghafla pm shimo limetema mtoto anakwambia sixgates naomba namba yako.lol
Wamasai bana, waongo sana na dawa zao
Ha ha ha haaah!! Mimi tangu nimejiunga humu JF nipo pale getini kama mlinzi lakini sijafanikiwa,,,,,,,,,kweli hizi ishu zina wenyewe.nenda getini pale kwenye lango la JF kuna ma sistaduu na mabrazameni wanaingiaga kila siku, ukivutiwa na duu mmoja we mshike mkono mvalishe pete hapohapo
Hahaha, mi nliambiwa kuna dawa ya kimasai inaitwa Katongoro, hiyo yaani ukiitafuna halafu ukam-mention tu mtu kwa mfano Heaven on earth huko huko aliko mambo yanakua mambo. Unashangaa tu ghafla pm shimo limetema mtoto anakwambia sixgates naomba namba yako.lol
Ha ha ha haaah!! Sisi kulikuwa na dawa za ajabuajabu na tulizitumia sana,,,,,,tukiwauliza wakubwa mbona hazifanyi kazi kama wanavyozinadi wanadai eti tukikuwa zitafanya kazi,,,,,
Ha ha ha haaah!! Mimi tangu nimejiunga humu JF nipo pale getini kama mlinzi lakini sijafanikiwa,,,,,,,,,kweli hizi ishu zina wenyewe.
Hahahah wengine tuna vismati vya paka kupendwa na wachawi!
Hahah sema anaumwa ujue, huu ndio wakati sasa wakupeleka maepo machungwa flani mixer maembe na mitori ya kutosha. Ma get-well soon card nini, hapo utajisafishia njia!
Hahah, yaaan jitihada zote lakini waaapi! Mi jogoo la tech. Siwiki huku chit chat!Ha ha ha haaaah!! Kweli kabisa aisee.....
Hahah, yaaan jitihada zote lakini waaapi! Mi jogoo la tech. Siwiki huku chit chat!
H aaahahahaaah!! Na mimi kule jukwaa la utambulisho,,,,,,,huku chit chat kuna wenyewe.
Hahaha mkuu yako kali, kule utambulisho? hahah, ilikkua unatega makoloni mapya nin?
Hahahahaaah!! Kule wala haisaidii kupata makoloni mapya hahahaaah!!
Hahaha mkuu yako kali, kule utambulisho? hahah, ilikkua unatega makoloni mapya nin?