Tuendako sio kuzuri!

Tuendako sio kuzuri!

Kuna meseji juzi imetumwa na JK akiwa mgeni kwenye mkutano wa Yanga..Narudia hivi ukisha kuwa kiongozi ata kama unataka A na kuna watu wa B lazma wote uwachukulie sawa maana sote ni watanzania. Mwenzenu anasema iweje umtangaze mpinzani,iweje upeleke maendeleo kwa mpinzani,iweje nishirikiane na wapinzani. Apo hua napata mashaka na kuuliza hivi kweli huyu ni damu ya Tanzania?
Kumbuka na lile agizo la wabunge kutokwenda kumjulia hali Lissu aliposhambuliwa.
Watu msiumeume maneno, chanzo cha nchi hii kuharibika ni mwenyekiti wa CCM kutoa kauli za utengano. Nchi ikitumbukia mambo kama ya Rwanda mzigo wa dhambi zote ni wake.
Wenye uwezo wa kumuambia kwa ukaribu wamwambie point blank
 
Amen, naunga mkono hoja.
Naamini hili hata Blaza yaani Bro Mkubwa ameliona hivyo atawaita kukutana nao home na kutoa mawazo yao na duku duku zao.
P.
Never, ameshaonyesha sio mtu wa kujifunza kutoka kwa wengine.
Hilo sio la kumlaumu maana ni inborn behavior, kosa lilikuwa ni pale Dodoma kwenye maamuzi ya zimamoto
 
Binafsi naumia kuona hali inavyozidi, ni kama tunaingia kwenu giza totoro. Siuoni tena mshikamano watu. Mwalimu Nyerere alisema maadui watu ni watatu ujinga, umasikini, maradhi naona kama adui namba nne anaingia (chuki na utengano). Jamani tunaenda wapi?
Amen, naunga mkono hoja.
Naamini hili hata Blaza yaani Bro Mkubwa ameliona hivyo atawaita kukutana nao home na kutoa mawazo yao na duku duku zao.
P.
 
Waungwana wa JF nimeona niandike haya baada ya kutafakari sana juu ya ninachokiona sijui na wenzangu kama mnaliona hili, Kwa uelewa wangu siasa si chuki, ugomvi, hila, visasi ila siasa ni hoja, mwenye hoja humshinda asiye na hoja au mwenye hoja hafifu. Ikubukwe sote ni watanzania ingawaje tunatofautiana tu itikadi za vyama. Sasa naona kama kuna kachuki kanajengeka kati ya chama tawala na upinzani. Imekuwa kama ni uadui, wa upinzani anaanza kumchukia wa chama tawala wa chama tawala anamchukia mpinzani. Mimi nimeliona hili hata humu JF. Kwa mwenendo huu Nchi yetu hatutafika kabisa tunakoelekea sio kuzuri utofauti wa vyama usituletee utengano na chuki baina yetu. Sisi ni watoto wa Baba na mama mmoja nao ni TANZANIA. tuishi kwa kupendana.
Tatizo ccm inalqzimisha kukubalika kwa kutumia green guards, police, jeshi na hata hizi mahakama za mwanzo mwanzo
 
Kuna siku nilipita sehemu nkakuta vijana wanaongea wanasema "tunataka la manyani" Tumjue nani yuko upande gani nkauliza jmn la manyani ndo nini wakasema tunatamani tuingie msituni dah niliwaza sana mpaka nikaogopa mawazo vijana wenzangu waliyo nayo kwa sasa.
 
Waungwana wa JF nimeona niandike haya baada ya kutafakari sana juu ya ninachokiona sijui na wenzangu kama mnaliona hili, Kwa uelewa wangu siasa si chuki, ugomvi, hila, visasi ila siasa ni hoja, mwenye hoja humshinda asiye na hoja au mwenye hoja hafifu. Ikubukwe sote ni watanzania ingawaje tunatofautiana tu itikadi za vyama. Sasa naona kama kuna kachuki kanajengeka kati ya chama tawala na upinzani. Imekuwa kama ni uadui, wa upinzani anaanza kumchukia wa chama tawala wa chama tawala anamchukia mpinzani. Mimi nimeliona hili hata humu JF. Kwa mwenendo huu Nchi yetu hatutafika kabisa tunakoelekea sio kuzuri utofauti wa vyama usituletee utengano na chuki baina yetu. Sisi ni watoto wa Baba na mama mmoja nao ni TANZANIA. tuishi kwa kupendana.
Bahati mbaya hata wenye PhD wamemua kupalilia hii kitu. Rejea kauli ya mpango bungeni
 
kabisa kwa vitendo kama vya Polisi Morogoro kuzuia mkutano wa Chadema na kuruhusu Mkutano wa CCM kwa sababu za kipumbavu namna hile hawa nao Polisi hawaitakii mema nchi yetu
 
Mwanadamu asiyekubali kukosolewa basi ujue huyo ana mapungufu mengi na hafai hata kuwa kiongozi wa familia..maana ukimkosoa tu anakimbilia shoka!!
 
Ni sawa ili kizazi kipya kike kuhukumu wapi tulikosea wapi tulisimama ukweli
 
Kwangu adui wa kwanza ni mwanaccm , sijashiriki misiba yao mtaani kwangu huu ni mwaka wa 3 sasa , halafu wao pia wanafahamu kwamba sishirikiani nao kwa lolote , na namuomba Mungu aendelee kunipa ujasiri wa kuwatenga zaidi

Uko kama mimi...sipend na sihitaj rafiki kindakindaki mwanaccm

cc😡Brittanica
 
Mwaka ujao 2020, UPINZANI watauwawa sana na CCM wakitumia vyombo vya dola ukubali usikubali, wagombea udiwani wenye ushawishi watauwawa na wana ccm tena hadharani na hakuna hatua zitakazo chukuliwa.

Kwa sababu kila greenguard siku hizi ni usalama, chuki inajengwa kwa vijana na ujue hili tayari liko katika kutekelezwa.
Na katika ccm kuna upande wa mtawala wa sasa na upande wa pili wale wabishi. Kundi lenye nguvu ni hili lenye uwezo wa kutumia polisi, wengine ama watakimbilia upinzani ama wanyamaze la sivyo kifo.

Hii chuki siyo kitu cha bahati mbaya kwa sababu siasa zinajengwa kwa usimba na yanga, kwenye siasa upinzani wa namna hii wenyewe huenda mbele zaidi yaani kuuana.

Ni seme jingine gumu kabisa watawala hawa wanajitengenezea kutawala maisha. 2025 utasikia kutoka bunge, wananchi, majeshi wakisema tunataka aendelee
 
kabisa kwa vitendo kama vya Polisi Morogoro kuzuia mkutano wa Chadema na kuruhusu Mkutano wa CCM kwa sababu za kipumbavu namna hile hawa nao Polisi hawaitakii mema nchi yetu

Hivi imekuwaje Tanzania ya sasa wanaume kama Mdude Nyagali na Tundu Lissu wamekuwa wakuhesabu?
 
Yanayoendelea kutokea kwenye kampeni za uchaguzi wa local government ni mfano wa yale makubwa zaidi yatakayotokea kwenye uchaguzi mkuu mwaka kesho.
 
Waungwana wa JF nimeona niandike haya baada ya kutafakari sana juu ya ninachokiona sijui na wenzangu kama mnaliona hili, Kwa uelewa wangu siasa si chuki, ugomvi, hila, visasi ila siasa ni hoja, mwenye hoja humshinda asiye na hoja au mwenye hoja hafifu. Ikubukwe sote ni watanzania ingawaje tunatofautiana tu itikadi za vyama. Sasa naona kama kuna kachuki kanajengeka kati ya chama tawala na upinzani. Imekuwa kama ni uadui, wa upinzani anaanza kumchukia wa chama tawala wa chama tawala anamchukia mpinzani. Mimi nimeliona hili hata humu JF. Kwa mwenendo huu Nchi yetu hatutafika kabisa tunakoelekea sio kuzuri utofauti wa vyama usituletee utengano na chuki baina yetu. Sisi ni watoto wa Baba na mama mmoja nao ni TANZANIA. tuishi kwa kupendana.
Mkuu unaachaje kuyachukia majitu yanayo tangaza kupoteza raia wenzao kwa sababu ya madaraka? Hujasikia yanavyo kejeli mpizani aliyepigwa risasi Morogoro?
 
Kinara wa siasa za chuki anajulikana ni JPM.. Hawa UVCCM wanafwatisha tu
 
Waungwana wa JF nimeona niandike haya baada ya kutafakari sana juu ya ninachokiona sijui na wenzangu kama mnaliona hili, Kwa uelewa wangu siasa si chuki, ugomvi, hila, visasi ila siasa ni hoja, mwenye hoja humshinda asiye na hoja au mwenye hoja hafifu. Ikubukwe sote ni watanzania ingawaje tunatofautiana tu itikadi za vyama. Sasa naona kama kuna kachuki kanajengeka kati ya chama tawala na upinzani. Imekuwa kama ni uadui, wa upinzani anaanza kumchukia wa chama tawala wa chama tawala anamchukia mpinzani. Mimi nimeliona hili hata humu JF. Kwa mwenendo huu Nchi yetu hatutafika kabisa tunakoelekea sio kuzuri utofauti wa vyama usituletee utengano na chuki baina yetu. Sisi ni watoto wa Baba na mama mmoja nao ni TANZANIA. tuishi kwa kupendana.
binafsi namchukia sana mccm kwa sababu ananichukia mno.
 
Back
Top Bottom