Makosa yake moja tu hajawai kuwatukaa Mabeberu wanataka kupora Madini yetu na wanataka kuleta Vita nchi na Hajawai kusema Walioandama ni Vijana kutoka nchi jirani na hajawai kusema Hakuna Wananachi aliyekufa October 29, Yani kosa lake kubwa hjawahi kuzungumza kuhusu Mauji ya October kwa kuitetea Serikali, Tofauti na Viongozi wenzake wakina MWINGULU, Wasira