Tuelewe Lipi?

Nadhani cha kuelewa hapo ni kuangalia nyuma ya pazia vile namna watu wanavyopata pneumonia kwa wingi basi wewe na wanaokuzunguka mnachukua tahadhari.

Sababu kauli nyingi zinaashiria kabisa kwamba ugonjwa upo.
 
Kila mtu apambanie mechi zake tu kwakweli

Hapa ni ushindi binafsi hakuna kusubiria la mgambo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…