Tudokoe na BIBLIA kidogo

Mushi92

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,912
2,000
IBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema.Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"

Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu' Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELI Wanawake wanahitaji vitu 4 na vyote VIENDE KWA PAMOJA (Perpendicularly),vitu hivyo ni

1.HELA 2.GOOD SEX 3.CARING MAN

4.MUDA Kuna Wanaume wanajua "Kukaza vizuri" mwanamke anatosheka,na wana hela ila WAKO BUSY...Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye Muda "Amkaze kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa...

"Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa..YES, Amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa Mwanamke ni LONELINESS....

A lonely Woman can easily be trapped by anyone.. hata Houseboy akimpa ATTENTION endlessly anakula mzigo Unataka Mwanamke awe wako peke yako? Fuata kanuni ya KIBIBLIA, ishi nae kwa akili....Mpe MUDA..Mpe HELA...Mpe Kisago kitandani...Mpe CARE na ATTENTION

Sikiliza maneno ya Nabii Seth uyatendee kazi,maana TB JOSHUA hatakwambia haya KAMWE!
 
lsn

Member
Jul 22, 2013
57
95
ndo shida ya kuoa mwanamke wa kukaa tu nyumbani. a busy woman will have less time to think of stupid things
 
MWAMUNU

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
669
250
Katika vitu ambavyo kamwe hutaweza, basi ni hili la kumfanya mwanamke wako aridhike kwa 100% !!
 
TOWASHI

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
294
195
IBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema.Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"

Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu' Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELI Wanawake wanahitaji vitu 4 na vyote VIENDE KWA PAMOJA (Perpendicularly),vitu hivyo ni

1.HELA 2.GOOD SEX 3.CARING MAN

4.MUDA Kuna Wanaume wanajua "Kukaza vizuri" mwanamke anatosheka,na wana hela ila WAKO BUSY...Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye Muda "Amkaze kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa...

"Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa..YES, Amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa Mwanamke ni LONELINESS....

A lonely Woman can easily be trapped by anyone.. hata Houseboy akimpa ATTENTION endlessly anakula mzigo Unataka Mwanamke awe wako peke yako? Fuata kanuni ya KIBIBLIA, ishi nae kwa akili....Mpe MUDA..Mpe HELA...Mpe Kisago kitandani...Mpe CARE na ATTENTION

Sikiliza maneno ya Nabii Seth uyatendee kazi,maana TB JOSHUA hatakwambia haya KAMWE!
Mkuu,
Kwahiyo TB Joshua akishahubiri namna ya kukaa na mwanamke ndo awe ametosha? Kwa maana nyingine mahubiri yote kwenye biblia yawe juu ya mbinu na maujanja ya kukaa na mwanamke vizuri?
Aisee....tuna safari ndefu!
 
blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
4,180
2,000
What a THREAD! Ila ndo ivyo thread zinazomake sense sku hizi hazina wateja hapa.
 
kitigiria

Senior Member
Apr 28, 2014
149
170
haya mambo yote kuyapata yote katika ulimwengu huu uliojaa kila aina ya fujo ni ngumu, mfano ila kuwa na pesa inabidi uwe biz mda mwingi kuisaka pesa, na ukiwa biz sana unachoka pia so sex inaweza ikawa ya kawaida, cha msingi usiwe na mke ambaye yuko iddle mda wote na huu utandawazi utaibiwa ni bora na yeye awe biz
 
kachelo

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
231
250
Hayo yote tisa wazee mwisho inabidi kuoa uliporidhiwa make sku hzi imekuwa mwenye nazo anapendwa na yeyote na matokeo yake ile tamaa ya kupata fedha ikiisha ndo nafasi ya kuonyesha upendo wa kweli inapokuwa ngumu hapo.hvyo ni bora kupendana kutoka moyon na si sababu ya pesa kwan hata masikin wa leo ndo tajiri wa kesho na wala sihitaji kuthibitisha hili
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom