PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Unafaa sana kujiunga na mashauzi classic bandi ili umsaidie isha mashauzi kutunga mipasho make ulichoaandika ni zaidi ya mipasho pole mkuu.SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kulifungua Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, hotuba hiyo imebezwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi, wakidai amepuuza maoni ya Watanzania.
Walisema, hotuba ya mkuu huyo wa nchi imejaa siasa na kubeza kazi nzuri iliyofanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya uenyekiti wa Jaji mstaafu Joseph Warioba.
Kwa nyakati tofauti, viongozi hao waliwataka wajumbe wa Bunge hilo wasusie mjadala huo kwa kuwa maoni ya wananchi kutaka muundo wa serikali tatu yamepuuzwa.
Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwendwa, alisema hayo jana wakati akitoa maoni yake kwa mwandishi wa habari hizi mjini hapa, kuhusu hotuba ya ufunguzi wa bunge hilo.
Katika maoni yake, Mwendwa ambaye pia ni Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Juu, Habari na Utafiti (RAAWU), Kanda ya Kati alisema kitendo cha Rais Kikwete kupuuza maoni ya Watanzania wanaotaka serikali tatu, kinakinzana na dhamira halisi ya taifa kupata katiba inayotokana na matakwa yao.
Alieleza kwamba kwa vile serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanataka muundo wa serikali mbili kinyume na matakwa ya wananchi wanaowaongoza ni wazi kwamba hata vitatumika vitisho kwa wananchi wakati wa kuipigia kura ya maoni rasimu hiyo baada ya kupitishwa bungeni.
"Msimamo wa serikali mbili kwa wananchi ni wa kulazimishwa na dola. Hii inatokana na kwamba dola haitambui raia wake kwamba wana haki ya kusikilizwa na kutimiziwa natakwa yao… inawezekana kabisa Rais Kikwete anaamini alichaguliwa kwa bahati mbaya.
"Halafu kama serikali mbili ni nzuri mbona Rais Kikwete ameshindwa kueleza uzuri na matatizo yake badala yake amezungumzia matatizo ya serikali tatu tu?" alisema Mwendwa.
Alimpongeza mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba na kusema: "Mzee Warioba kwa mawazo yake mazuri ya taifa hili… ana busara lakini baadhi ya viongozi ndani ya CCM na serikali ni mafisadi."
Kwa upotoshaji aliofanya Warioba, ni misukule tu kama hii ndiyo itampongezaHuyu ndiye wa kupongezwa? Kwa kipi kwanza wakati ni mpotoshaji mkubwa tu.
Tehetehetehe, hakika Mashauzi Classic ndo habari ya MACHADEMAUnafaa sana kujiunga na mashauzi classic bandi ili umsaidie isha mashauzi kutunga mipasho make ulichoaandika ni zaidi ya mipasho pole mkuu.
Sure mkuu huyu kakaa chumbani kwake kashiba uji anaanza kutunga uongo wake halafu anatwambia mawazo ya tucta bavicha ni vijana wa ajabu sana mimi naamini kuwa yeyote anayepinga hotuba ya rais lazima awe na shida kidogo kichwani mwake.Usilitu,ie vibaya jina la Taasisi. Huwezi kuchukuwa maoni ya Individuals ndaninya taasisi ukasema ni maoni ya taasisi. Maoni ya Taasisi lazima yaoneshe sehemu yalipotolewa, kama ni mkutano wa kawaida au dharura, idadi ya waliohudhuria nk. Mjifunze misingi imara ya uandishinwa habari
Kabisa kabisa ndiyo maana hawa jamaa hata kwenye vikao vyao huishia kutukanana na kupigana matofali ya uso.Tehetehetehe, hakika Mashauzi Classic ndo habari ya MACHADEMA
Unafaa sana kujiunga na mashauzi classic bandi ili umsaidie isha mashauzi kutunga mipasho make ulichoaandika ni zaidi ya mipasho pole mkuu.
Zipo dhambi zingine hata shetani atawakataa kabisa kabisa kuwa hakuwatuma.Hivi huko Jehannam kuna nafasi ya kutosha kwa wasema uongo na wasengenyaji?
Huyu ndiye wa kupongezwa? Kwa kipi kwanza wakati ni mpotoshaji mkubwa tu.
Unafaa sana kujiunga na mashauzi classic bandi ili umsaidie isha mashauzi kutunga mipasho make ulichoaandika ni zaidi ya mipasho pole mkuu.
Uongo mwingike huu hao tucta wamekutana lini kuponda hotuba kwa nini vijana wa bavicha wengi mnapenda uongo na kupotosha watu hakuna hotuba bora kama aliyotoa rais siku ile.
Kwa upotoshaji aliofanya Warioba, ni misukule tu kama hii ndiyo itampongeza
View attachment 146575
MMOJA AWEZA WAKILISHA MANENO YA WENGI, KAMA AFANYAVYO NDUGUYENU KIKWETE, aliyoyazungumza bungeni aliitisha kikao cha NEC??????????????/, Acheni uvivu wa kufikiri.Uongo mwingike huu hao tucta wamekutana lini kuponda hotuba kwa nini vijana wa bavicha wengi mnapenda uongo na kupotosha watu hakuna hotuba bora kama aliyotoa rais siku ile.