chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,979
Mgaya alishapigwa ganzi ya ubongo tangu kipindi kile cha mbayuwayu. kwa sasa hajitambui ila tu wafanyakazi wanakosa mfumo wa kuweza kumwondoa kwenye nafasi hiyo. Hii ni pamoja na Gratian Mukoba wa CWT. hawa wote ni makada wa ccm na sio watetezi wa wafanyakazi tenaShirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini limesema haliungi mkono UKUTA, katibu mkuu wa TUCTA Nikolaus Mgaya amesema wao hawajihusisha na siasa kwa ni kazi yao ni kutetea maslahi ya wafanyakazi.
Amesema kuna wanachama wa upinzani na CCM waliopo TUCTA lakini wao hawataunga mkono UKUTA
Akizungumzia suala la kuhamia Dodoma amesema yawezekana hakuna majengo ya kutosha kweli lakini watabanana huko huko ili wapate akili za kujenga
Haoneshi kupinga UKUTA. Anaonekana tu kuonesha kwamba wao hawafungamani.Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini limesema haliungi mkono UKUTA, katibu mkuu wa TUCTA Nikolaus Mgaya amesema wao hawajihusisha na siasa kwa ni kazi yao ni kutetea maslahi ya wafanyakazi.
Amesema kuna wanachama wa upinzani na CCM waliopo TUCTA lakini wao hawataunga mkono UKUTA
Akizungumzia suala la kuhamia Dodoma amesema yawezekana hakuna majengo ya kutosha kweli lakini watabanana huko huko ili wapate akili za kujenga
of course, TUCTA kama TUCTA hapaswi kuunga mkono lakini mwanachama mmoja mmoja wapo wanaounga mkono.Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini limesema haliungi mkono UKUTA, katibu mkuu wa TUCTA Nikolaus Mgaya amesema wao hawajihusisha na siasa kwa ni kazi yao ni kutetea maslahi ya wafanyakazi.
Amesema kuna wanachama wa upinzani na CCM waliopo TUCTA lakini wao hawataunga mkono UKUTA
Akizungumzia suala la kuhamia Dodoma amesema yawezekana hakuna majengo ya kutosha kweli lakini watabanana huko huko ili wapate akili za kujenga
TBC iliwahoji mkuuWapo baadhi ya watanzania wanapaswa kuingia kwenye kitabu cha maajabu ya dunia..
Mtu awezaje kujitetea katika jambo ambalo hajawahi kushtakiwa kwalo??
Yani mtu unawasha gari unatoka nyumbani..unakimbilia kisutu na unapanda kizimbani unaanza kujitetea "sijafanya hiki,sijafanya kile"..
Na hii ndio Tanzania.
Iliwahoji kama wanaunga mkono au??TBC iliwahoji mkuu