BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,148
- 2,160
Katika hali isiyokua ya kawaida Watumishi wa Tanzania wameendelea kunyanyaswa,kudharauliwa na kuonekana sio lilote wala chochote katka kuijenga Tanzania.
Tokea Serikali hii ya Awamu ya Tano kuingia Madarakani haijawahi kuwajali wala kuwaongezea ata senti tano licha ya sheria za kimataifa kuitaka seriakali ifanye hivyo.
Mishahara aliyoiacha #JK na Madaraja aliyoyaacha JK hayajawahi badilika hata nukta Serikali itambue kama JK sukari ilikua 1800 Leo ni 2800....
Hivi serikali kwanini inawafanya Watumishi kama watoto wadogo? Hivi Serikali inategemea Tija kwenye utumishi?
Viongozi wetu wa vyama vya wafanyakazi hivi wapo kweli? Au nao ni sehemu ya kutunyonya watumishi? Hivi wanashindwa nini kutungaza mgogoro na Serikali hii ya Awamu ya tano? Hivi wanaogopa kwenda jela au sero kwa kutetea watumishi wao? Hivi hawajui kama tunakatwa 02% kwa ajili yao?
Hivi hawakuwepo siku ya mei mosi na hawakusikia ahadi za kiongozi mtawala huyu? Je kuna haja ya kuwa na TUCTA? Hivi Bunge letu halioni dhuluma hii