TUCTA inapokuwa jumuiya ya CCM

TUCTA inapokuwa jumuiya ya CCM

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,178
Reaction score
37,475
Heshima sana wanajamvi.

Leo nimekuwa nikifuatilia sherehe za May Mosi huko Singida.

Ni wazi tena pasipo shaka TUCTA sasa ni sawa na jumuiya za CCM sawa na UVCCM au Wazazi.

Ni aibu TUCTA kutumika kama chombo cha propaganda za CCM na serekali yake.

Ngongo kwa sasa Singida.
 
Back
Top Bottom