Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Cha kwanza ni tume huru ya uchaguzi...na mkuu wa tume kuchaguliwa na rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm!!Hebu tuwekee hapa vifungu 21 muhimu katika Katiba ya Kenya ambavyo haviko kwenye Katiba ya Tz na ambavyo vinahitaka sana katika Tz ya sasa.
Tofauti ya mahitaji yetu na kenya ni kama yapi kwa mfano.Katiba ya Kenya inaendana na mahitaji yao kwa wakati huo. Haitatufaa.
Katiba kwanza ndyo utekelezaji unafata.ha ha ha! unaweza ukakopi na kupaste lkn utekelezaji 0! vivyohivyo unaweza kuunda katiba imara lkn utekelezaji holla nafikiri tuanze na misingi ya utekelezwaji wa katiba kwanza here we can work good.
Sawa; kwa Kenya utaratibu ukoje?Cha kwanza ni tume huru ya uchaguzi...na mkuu wa tume kuchaguliwa na rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm!!
Tume huru iko vipi?Cha kwanza ni tume huru ya uchaguzi...na mkuu wa tume kuchaguliwa na rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm!!
Acha porojoTanzania na Kenya ni vitu viwili tofauti sana.
1. Tanzania ni nchi ya muungano Kenya sio
2. Asili ya Tanzania ni ujamaa kenya ubepari
3. Kenya kuna ukabira Tanzania hakuna.
4. Mahitaji ya kenya na Tanzania ni tofauti.
Katiba ya kenya inaendekeza rushwa kwamba rais hana uwezo wa kuwaondosha wala rushwa kwenye utawala wake.
Ukigundua na kuelewa kuwa ni nchi tofauti zenye Ideologies tofauti. Hautaleta tena hiki humu.
hakuna utekelezaji bila ya uzalendo je tunawazalendo wa kuitekeleza hiyo katiba..?Katiba kwanza ndyo utekelezaji unafata.
Uhuru maana yake ni nini? Naomba tuanzie hapo kwanza.Bado kasumba ya kuona kila cha Kenya ni bora kuliko cha Tz inawaandama waTz. Leo Kenya kuna Amani na uhuru kuliko Tz.!?
Ubovu wa katiba ndyo sababu ya kuua uzalendo. Katiba ingekuwa inawajibisha viongozi kuanzia ngazi ya juu hadi chini. Wasingekuwa wagumu kuwa wazalendo. Ndyo maana unaona Raisi wa Tz anafanya atakavyo sababu katiba iliyopo haimuwajibishi kwa lolote.hakuna utekelezaji bila ya uzalendo je tunawazalendo wa kuitekeleza hiyo katiba..?
kumbuka nguvu ya maneno/wazo ipo katika vitendo!
Ukisema kenya haina uhuru wa habari je sisi uku tz tusemeje?Kenya hakuna uhuru wa habari kama TZ kama unavyosema mkuu. Wewe fuatilia mitandao ya kijamii ya kenya ndio utaelewa. Wapo na limitation ya kujieleza.
Sasa wewe unaanzisha thread huku hujui chochote unasikitisha sana. Eti kwa sababu jirani anatumia kila siku Panadol na wewe ufanye hivyo eti kwa sababu unataka uwe na afya. Je unajua kwanini anatumia Panadol?Acha porojo
Wewe uhuru umadhani ni bunge pekee. Nimekueleza ulinganishe mitandao ya kijamii ya kenya na tanzania. Hebu nenda kwenye mitandao yao kama utapata uhuru huo. Wakikuyu wameteka mitandao yote na hakuna uhuru wa kujieleza. Fikiria kwa jicho la ndani zaidi.Ukisema kenya haina uhuru wa habari je sisi uku tz tusemeje?
Kenya bunge live- tz bunge dead.
Ilisemwa sana lakini JK na timu yake ya CCM wakapuuza. Jk naye hafai, usione watu wanalinganisha na kitu kingine, naye hafai. May be angelifanya wajibu wake kikamilifu tungelikuwa na nafasi nzuri ya utawala boraHatuhitaji kutumia pesa nyingi eti kutengeneza tume ya katiba ambayo itatumia miaka hata 20 tusipate iyo katiba.
Tufanye kucopy ile ya wakenya tubadili vitu vichache kama muungano wa Tanganyika na zanzibar.
Kama kenya imeleta amani na uhuru kwanini ishindikane kwetu?
Kupata katiba mpya bila mapinduzi Tz ni vigumu sana.