Tucopy na kupest Katiba ya Kenya

Wewe hoja yako ipo wapi mbona naona upuuzi tuu huu umeandika. Unajua hata maana ya purchasing power wewe?
Sasa wewe ndio unayetakiwa kutetea thread yako. Wewe leta hoja kutete thread yako zaidi utaonekana upo na mawazo ya kitoto.

Rudi kwenye mada utetee thread yako. Hiyo ninakupatia mifano tu.
 
Nitete nini unaandika vitu hujui hata maana.
 
Sasa wewe ndio unayetakiwa kutetea thread yako. Wewe leta hoja kutete thread yako zaidi utaonekana upo na mawazo ya kitoto.

Rudi kwenye mada utetee thread yako. Hiyo ninakupatia mifano tu.
6ed643e222d6c594408ea90c73022442.jpg
730439e167c94cb205f87044e12ce14c.jpg
44f7a45d71fb7868313a63668a064fb3.jpg

Hapa ndpo unaweza kuevaluate purchasing power. Usiwe unabwajabwaja vitu usivyovijua na kujifanya unajua research sana.
 
Kha!! Hiyo ndio sasa unasema tuige katiba ya kenya. Mbona kichwa empty wewe.
Nimekupatia mifano tu.
Sasa unatushawishi vipi tupaste hiyo katiba ya kenya. Hapa naona unaongea ugoro tu. Hujui hata thread yako umeianzisha kwa lengo lipi. Wewe njoo na evidences za maana siyo kuruka ruka kama chura kabanwa na mlango.
 
Mifano gani uliotoa kama sio pumba tu. Mara kagera mara wakoloni mara purchasing power. Nimekuuliza maana ya purchasing power umeishiwa kutokwa povu. Unajifanya mjuaji kumbe mtokwa povu.

Homo iyo nyingine chukua endelea kutoa povu
 
Basi endelea na ushamba wako. Kwa kuwa huna uwezo kichwani na siku chache tu utakuwa mlemavu wa akili. Sio tatizo lako. Halafu nimegundua uwezo wako ni mdogo sana hujui hata maana ya PPP. Ona sasa unavyojaibisha. Nenda shule dogo.
 
Mshamba ni wewe ambaye unajifanya unaijua kenya kenye mtandao wakati maisha yako yate hujawai hata vuka boda ya tanzania. Siku ikifika kenya huu ushamba utaujua.

Unajifanya et PPP unaijua wakati nimekuuliza hata maana ya purchasing power hujui sasa kama purchasing power hujui maana yake utajuaje purchasing power priority?
 
Dogo acha kujiaibisha PPP inaitwa purchasing power parity.
Nenda shule kwanza mbumbumbu wewe.
 
Tanzania na Kenya ni vitu viwili tofauti sana.
1. Tanzania ni nchi ya muungano Kenya sio
2. Asili ya Tanzania ni ujamaa kenya ubepari
3. Kenya kuna ukabira Tanzania hakuna.
4. Mahitaji ya kenya na Tanzania ni tofauti.

Katiba ya kenya inaendekeza rushwa kwamba rais hana uwezo wa kuwaondosha wala rushwa kwenye utawala wake.

Ukigundua na kuelewa kuwa ni nchi tofauti zenye Ideologies tofauti. Hautaleta tena hiki humu.
Hivi uko dunia gani?
  1. Tanzania ni nchi ya kibepeari kama Kenya
  2. Ukabila Tz, upo kama Kenya sema wao ni wa chuki ila nasi tunaelekea hukohuko
  3. Mahitaji ya tz na Kenya ni hayo hayo
 
Umesoma point zangu au umekurupuka kujibu tu? Nimesema asili ya tanzania ni ujamaa. Hebu rudia bila mihemko usome vizuri.
 
Ni sawa na kuwaambia Wachina wakopi katiba ya India. Tanzania is purely a police state. Katiba ya Kenya kuna kifungu kinasema:
Assembly, demonstration, picketing and petition
37. Every person has the right, peaceably and unarmed, to assemble, to demonstrate, to picket, and to present petitions to public authorities.

Tafuta maneno haya kwa kiswahili katika katiba zote za Tanzania kama utayakuta, ruhusa kwanza toka kwa jeshi la polisi.
 
Kwani hiki kifungu kikiwa Tz kutakuwa na Tatizo gani?
 
Back
Top Bottom