Stephen:hakuna Jambo jema ambalo Magufuli kalifanyaUnahoja makini "lakini kwa sasa tunataka haki za binadamu ziheshimiwe la muhimu zaidi tutazunguka dunia nzima ijue kuwa watu wananyanyaswa Tanzania"
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani uwizi SI ni tabia Kama nyingine..ila kwanini tunaupinga kwa nguvu zote kwa sababu Ni mbaya.jamii haitaki..na hata ushoga jamii haitaki kwa hiyo lazima tuupinge kwa maneno na vitendo na sio kuficha fichaHahaha ushoga katiba inaushughulikiaje?! Mnapoongea hivi utadhani mashoga nao tunaletewa kutoka ulaya na amerika. Ushoga ni tabia kama ucha mungu, au ulevi. Hakuna sheria juu ya hili na haijawahi kuwepo,
Hakuna mtu anasema mwanangu sasa kawe shoga au lesbian, ni vitu watu hujifunza kwa utashi wao. Hata jamii hairuhusu lakini wapo, sasa katiba itawaua au itawafanya nini?!
Hawa watu wapo dunia nzima, kabla na baada ya Yesu. Hivi nani hasa anawatengeneza watu hawa, ni bebwru au sisi wenyewe?! Mnavyooongea utadhani ni bidhaa tumeletewa kwa hisani ya watu wa marekani hahaha.
Hahaha sasa wizi tunapoupinga/tunaoupinga umeisha?! Kuna vitu vipo na vitakuwepo tu labda dunia hii iwake moto.kwani uwizi SI ni tabia Kama nyingine..ila kwanini tunaupinga kwa nguvu zote kwa sababu Ni mbaya.jamii haitaki..na hata ushoga jamii haitaki kwa hiyo lazima tuupinge kwa maneno na vitendo na sio kuficha ficha
Yeap! Nadhani ulitaka kumtaja Lissu jinsi alivyozungusha maneno juu ya jambo hilo: Kama Lissu ni shoga, ana haki hiyo. Lakini, kama siyo shoga na hayo ndo majibu aliyozunguka nayo BBC basi ni mwanasiasa mbovu, mwenye lengo la kutafuta kuungwa mkono kwa gharama mbovu. Sijui kwa nini alishindwa kusema YES au NO! Badala yake kakimbilia katiba na mambo ya privacy huku akijua kwamba kwa kisingizio kama hicho, hata anayelawiti mtoto mdogo naye ni privacy yake.Wakuu,
Sheria zetu zipo wazi kabisa kwenye swala la ushoga. Ushoga Tanzania ni marufuku kisheria lakini pia kwa utamaduni wetu haikubaliki.
Tunahitaji kigugumizi kwenye hili? Tunahitaji kuzunguka kwenye hili? Kama wapo wanaofikiri hili swala linakiuka haki za binadamu ( haki kwa standards za kizungu tunahitaji kuwa na zetu), basi wangepambana na hizi sheria tuone wako serious.
Ni unafiki kujifanya una dini huku unakubaliana na mambo ambayo ni kinyume cha dini karibia zote. Wenzetu ushoga umepenyezwa hadi kwenye dini na kugeuzwa kawaida alafu na sisi tunataka kupiga siasa badala ya kuwa bold kwenye hili.
Kwanza hili liwe swala la kikatiba kuonesha tunasimamia nini, ili tuache kupiga siasa kwenye vitu ambavyo hakuna anayetamani kizazi chake kidumbukie huko.
Sikilizeni jibu la kiume kutoka kwa Rais Museven ili siku nyingine tukiulizwa swali juu ya ushoga tuwe bold enough na si blah blah.
View attachment 1006840
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu akiwa shoga kwa ridhaa yake mwenyewe ,ww unapatwa na hasara gani ?,hakutegemei kiuchumi nk,kila mtu anakaburi lake atajibu kwa Mola wake mwenyewe,sioni haja ya kuwatolea macho wakiwa ni watu wazima tatzo kwa watoto kufundishwa tabia hizo ndo hatari ilipo ila mambo haya huanza baada ya balehe au kuvunja ungo kama sikosei na sizan kama mtu anaweza kuanza kabla ya kupevukakwani uwizi SI ni tabia Kama nyingine..ila kwanini tunaupinga kwa nguvu zote kwa sababu Ni mbaya.jamii haitaki..na hata ushoga jamii haitaki kwa hiyo lazima tuupinge kwa maneno na vitendo na sio kuficha ficha
Huu ushauli mpelekee aliyewaachia huru wakosaji wa kulawiti watoto wadogo. Hivi mnajua ushoga unaanzaje? Suluhisho zuri ni kupambana na chanzo na kutoa elimu kwa wahusika, siyo kamata kamata na kutoa matamko tu.Wakuu,
Sheria zetu zipo wazi kabisa kwenye swala la ushoga. Ushoga Tanzania ni marufuku kisheria lakini pia kwa utamaduni wetu haikubaliki.
Tunahitaji kigugumizi kwenye hili? Tunahitaji kuzunguka kwenye hili? Kama wapo wanaofikiri hili swala linakiuka haki za binadamu ( haki kwa standards za kizungu tunahitaji kuwa na zetu), basi wangepambana na hizi sheria tuone wako serious.
Ni unafiki kujifanya una dini huku unakubaliana na mambo ambayo ni kinyume cha dini karibia zote. Wenzetu ushoga umepenyezwa hadi kwenye dini na kugeuzwa kawaida alafu na sisi tunataka kupiga siasa badala ya kuwa bold kwenye hili.
Kwanza hili liwe swala la kikatiba kuonesha tunasimamia nini, ili tuache kupiga siasa kwenye vitu ambavyo hakuna anayetamani kizazi chake kidumbukie huko.
Sikilizeni jibu la kiume kutoka kwa Rais Museven ili siku nyingine tukiulizwa swali juu ya ushoga tuwe bold enough na si blah blah.
View attachment 1006840
Sent using Jamii Forums mobile app
Priorities: youth unemployment 40%Wakuu,

Umesahau mgombea Urais wa Chadema 2015 aliahidi kumtoa jela pia. Tuvuke mipaka ya siasa. Nini tunataka kwenye issue ya ushoga? Tuache kuzungukaHuu ushauli mpelekee aliyewaachia huru wakosaji wa kulawiti watoto wadogo. Hivi mnajua ushoga unaanzaje? Suluhisho zuri ni kupambana na chanzo na kutoa elimu kwa wahusika, siyo kamata kamata na kutoa matamko tu.
Mkuu mjadala wa ushoga hauzuii mjadala wa unemployment. Mpaka sasa hii issue imekuwa na kigugumizi. Lazima tuwe na msimamo moja kwenye mambo ya msingiPriorities: youth unemployment 40%
Ushoga 0.05% almost negligible
Kwa nini mnakuza sana?
Sheria ipo, tatizo naona wanasiasa wetu wengi wanazunguka tu.Nyie ccm bunge si lenu? waziri wa sheria si wenu? rais si anatoka chama chenu? sasa kwanini kama kweli hamuutaki ushoga msitunge sheria ya kuuzuia.