Tucheze kidogo

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,678
Just for fun , kwa kujifurahisha tu kdg.
Chagua herufi tatu za jina lako la
kwanza
Halafu chagua ziada yoyote mbili tu
Mfano jina langu ni Abel , tatu za
kwanza ni ABE ambayo ni Amani,
Baraka, Elimu halafu nachagua mbili
nachagu U – Uzima na H - Hekima .
kazi kwako.
A – Amani Hiyo
B – Baraka hizo
C – Chakula hicho
D – Damu ya Yesu hiyo
E – Elimu hiyo
F – Fedha hizo
G - Gari hilo
H – Hekima hiyo
I – Injili hiyo
J – Jumba hilo
K – Kokoto hizo
L – Lulu hiyo
M- Maembe hayo
N – Nyuki hao
O – Ole wenu hiyo
P – Pacha hao
Q – Quit huko uliko
R – Reli hiyo
S – Safari hiyo
T – Taa hiyo
U – Uzima huo
V – Vazi hilo
W – Wokovu huo
X – X kosa hilo
Y – Yesu huyo
Z - Zawadi hiyo
 
Jamani wachezaji hakuna?
 

Attachments

  • 1392698839688.jpg
    3.2 KB · Views: 170
Mmmh zangu hazitamkiki m.b.o du nashindwa kumalizia
 
nilikuwa wapi sijaiona hii kitu yangu ni
Lady ni: lulu hiyo, Amani hiyo, Damu ya Yesu hiyo, na Yesu huyo
nimekosea hapo rafiki yangu


 
Sha kc
Safari hiyo
Hekima hiyo
Amani hiyo
Kokoto hizo
Chakula hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…