Tuchemshe bongo kidogo

5 + 10 = A + 7
B + A = 3 + 9
B - C = 10 - A

A=8 , B=4 , C=2

5 + 10 = 8 + 7
4 + 8 = 3 + 9
4 - 2 = 10 - 8

hivyo,
A + B + C=?
8 + 4 + 2=14
Hizo ni hesabu za Ali Makundi Kamdomo wa UTO. Wanasoka wamenielewa
 
We Endelea kutafuta kazi unaweza kujikuta kutafuta kazi ndio kazi yako
 
Sawa mkuu japo mie nlikuwa nazungumzia hiyo ya kuremove stick ( kwenye post nliyokuquote, .maana hakuna aliyejibu )

HEshima yakoπŸ™Œ
 
solution:

let;πŸ”Ί = X
🟦 = Y
🟑 = Z

equation ya kwanza

5 + 10 = X + 7
X + 7 = 15
X = 15 - 7
X = 8


equation ya pili

Y + X = 3 + 9
Y + X = 12
( X = 8 )
Y + 8 = 12
Y = 12 - 8
Y = 4


equation ya tatu

y - Z = 10 - X

( X = 4, Y = 4 )

4- Z = 10- 8
4 - Z = 2
-Z = 2 - 4
-Z = -2
Z = 2

( X = 8, Y = 4, Z = 2 )

🟑 +πŸ”Ί + 🟦 = Z + X + Y

= 2 + 8 + 4
= 14

Kwaiyo:
🟑 + πŸ”Ί + 🟦 = 14
 
Lete hata intergration moja tui solve then tui differentiate tena.
 
πŸ™πŸ‘βœ”οΈπŸ€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…