Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,806
- 5,774
Maisha si magumu kila saa tupumzike kidogo tucheke na kufurahi. Kama unayo video ya kuchekesha, tupia hapa tuangalie! Memes, vituko, au chochote kitakachotufanya tusahau stress kidogo.
Wadau, nani anaanza? π
Watu hatujala tutacheka na njaa kweli?!!!Yani kuna watu bado wanacheka kweli ?
Hawa watakuwa wanatucheka ambao hatujala hizi dharau sanaWatu hatujala tutacheka na njaa kweli?!!!
HahahπππYani kuna watu bado wanacheka kweli ?
---chochote kitakachotufanya tusahau stress kidogo.