miss ngatara
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 473
- 167
muone kwanza!
Unajiita miss wakat una umbo afazali ya asha boko!
Twende twende na njaa zako leo! Lol
Miguu kaa fito!
Hilooo we wa wapi? We hujui kama kitambi fashion kila Dada wa Mjin ana kitambi mwangalie mwembamba kama fidodido
Kwenu ni wafupi sana mpaka mnatumia winchi kufikia meza wakati wa kula!
Twende...
Kwenu Tanesco wamegoma kuweka umeme sababu ya uchafu wenu..! Eti mnaweza kukwangua nyaya kwa harufu! Dah!
Ha ha ha excel umeniweza lakin sikubali twende twende macho makubwa utarikir mjus kabanwa na mlango
Una domo kama la chewa maneno mbofu mbofu kam mlima kitonga.
Twende twende
Kichwa kikubwa utafikir Mpira wa kichangani twende twende
Una mwili kama kontena la mtumba
Twende twende
Kwenu masikini mpaka mmeamua ...(duh! Nimesahau kumalizia..! Lol)
muone!Huna lolote ndomana unanuka kwapa kama ushuzi wa mayai looh
Urefu kama ngongoti,
Mcheki alivyo!
Ndo maana unalia huku unakonyeza konyeza!
(Mcheki sasa alivyojaribu kukonyeza huku anajaribu kulia! Hahahaa! Haiwezekani..)
muone!
Huna hata aibu!
Kiuno saiz 30, unalazimisha kuvaa jeans saiz 48!
Kichwa kontena.. Akili kisoda!
twende twende sura mbaya na tumbo kubwa kama u know le matuzTumbo kubwa kula kwa majirani,Domo pana chapati hukunji
Inasinzia kwenye kiti ukiulizwa wasema unasema umesafiri.twende twende sura mbaya na tumbo kubwa kama u know le matuz