ukkiangalia mwenendo mzima wa kampeni za chama tawala utagundua yafuatayo
- matumizi makubwa ya rasilimali za watanzania kwa maslahi ya ccm ikijumuisha kuwanunua wapinzani na kuwatawanya makada wake sehemu mbalimbali za nchi kama inavyoripotiwa na vyombo vya habari
- matumizi ya taasisi za umma kama jeshi,ofisi za maafisa mbalimbali kama ma dc,ded na hata ma rc kwa manufaa ya chama
- kutoa propaganda zilizokosa uzalendo kama elimu na afya bure haviwezekani huku wakigawa vitu kama kanga,t shirts,kofia na hata kuwabeba wanachama kwa usafiri mbalimbali kwa lengo la kujaza mikutano yao