Tubuni..............

Watu wako busy hawataki kumsikiliza...
 
hii picha inaongea mengi..
 
mnavyopita km hamumuoni,iko siku mtamkumbuka lol
 
Kwani unadhani hawasikii basi..
 
Jamaa kavaa vazi la gunia, alicho sahau hapo ni kurarua mavazi yake (suruali) na kujipaka majivu au vumbi kichwani. Wanaoifahamu vizuri biblia wanaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…