Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Oct 20, 2014 15,333 24,218 Feb 13, 2018 #1 Tuna theluji na baridi ya kutosha juu ya mlima Kilimanjaro. Kamati ya Olympic na Bodi ya Utalii ikishifikiana na Mamlaka ya KINAPA, huu ndio wakati wa ku plan, Winter Olympic Kilimanjaro 2050.
Tuna theluji na baridi ya kutosha juu ya mlima Kilimanjaro. Kamati ya Olympic na Bodi ya Utalii ikishifikiana na Mamlaka ya KINAPA, huu ndio wakati wa ku plan, Winter Olympic Kilimanjaro 2050.
ras jeff kapita JF-Expert Member Jan 4, 2015 19,726 28,280 Feb 13, 2018 #2 Safi sana,kuna kipindi nilisikia wanasema barafu imeyeyuka kimebaki kiasi kidogo sana,kumbe zilikuwa story za walevi tu.
Safi sana,kuna kipindi nilisikia wanasema barafu imeyeyuka kimebaki kiasi kidogo sana,kumbe zilikuwa story za walevi tu.
kedrick JF-Expert Member Apr 25, 2015 5,059 4,867 Feb 13, 2018 #3 Tatizo sio barafu tatizo ni je tuna Maeneo na makazi ya kutosha kuwa hold washiriki wa iyo Olympic