Tubu kwa kuomba hii sala

Tubu kwa kuomba hii sala

mkuu akuna lolote apo, unamwomba binadamu mwenzio akusamee dhambi, tena alieuliwa na binadamu hao hao. Mtu akifa na abari zake zimekwisha,

leo ni Simba na Yanga,nani mtani jembe?umenunua tiketi ya jukwaa gani?hizi habari ni kubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri.
 
sio yeye hayo ni maandiko kwamba wewe ni kafir tu! kama sivyo kubali leo Yesu ni Mungu! sawa?
 
kafiri wewe unaemtegemea binadamu wenzio, hio inaonesha uwezo wako wa kufikiri umeishia apo ndo maana unaamini upuuzi, mtu kashakufa alafu aondoe dhambi ivi una akili wewe?

Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu. Hii ni kulingana na maandiko matakatifu, yaanu, Biblia. Mambo ya rohoni hutambulikana kwa jinsi ya roho. Najua hili litakuwa gumu kwako. But it is a plain fact. Kafiri ye yote hawezi kumkubali Yesu Kristo kutokana na roho ya mpinga Kristo iliyo ndani mwake. Ni kama wewe.
 
Dear Jesus, I am so sorry for the bad things I have done. I want to make peace with You. Please forgive me! Thanks for dying on the cross to pay for my sins, and then rising from the dead. Come into my heart today and let me be your Child. Thanks for eternal life in Heaven. Amen. ***Write "Amen" if you asked Jesus to save you today

Mpwa hii Sala inawafaa Magamba
 
Amen..QUOTE=Pdidy;11373150]Dear Jesus, I am so sorry for the bad things I have done. I want to make peace with You. Please forgive me! Thanks for dying on the cross to pay for my sins, and then rising from the dead. Come into my heart today and let me be your Child. Thanks for eternal life in Heaven. Amen. ***Write "Amen" if you asked Jesus to save you today[/QUOTE]
 
Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu. Hii ni kulingana na maandiko matakatifu, yaanu, Biblia. Mambo ya rohoni hutambulikana kwa jinsi ya roho. Najua hili litakuwa gumu kwako. But it is a plain fact. Kafiri ye yote hawezi kumkubali Yesu Kristo kutokana na roho ya mpinga Kristo iliyo ndani mwake. Ni kama wewe.

unajifanya kumjua yesu kumbe huna lolote, wezi nyinyi mnatusababishia umaskini, na imani ya kukopi toka kwa wazazi wako.
 
Back
Top Bottom