Tubadilishane mawazo

loyda

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
436
Reaction score
128
Habari wakuu,

Naamini mko poa kabisa na kwa wengne weekand ndo kama hivi twaianza.Mfano unakuta conversation za kimapenzi kwenye simu ya mume/mchumba/mpenzi wako za madame tofauti tofauti, zikionesha ni wapenzi utafanya nini?

Kama huna la maana so lazima uchangie mkuu
 
Utamuuliza ili ujue zaidi, kama umeshaziona nadhani kinachofuata ni kuuliza tu, sasa utauliza kwa staili gani hiyo inabaki juu yako wewe. Mimi nitauliza akinijibu nachuja hayo majibu kwa kuangalia mazingira yote ya sms na mengine yawe ya nyuma au ya wakati huo ambayo nahisi yanahusika ktk hilo jambo. Swali la mwisho nitakalouliza ni hili.

Je unanipenda mimi au unawapenda hao wanawake wako
? akijibu nakupenda namwambia "naomba uniheshimu" na akisema sikupendi "nabeba vilago". endapo atarudia tena - basi nitajua hukohuko.
 
Nitawaza na kuwazua na ntajua kwamba ndo mapenzi yameisha soo ntaanza kujisanzua mdogo mdogo
 
nawapigia simu wote nawapa warning nachukua line yake nakaa nayo kama wiki mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…