Tubadilishane gari

Tubadilishane gari

Asheengai

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
30
Reaction score
5
Wanajamvi mimi ni mfanyakazi wa hospital ya serikali 'Dr '. Ninaenda shule hivyo kiuchumi sitaweza kumudu gharama.
Nina crester gx 100 namba B. Ipo katika hali nzuri sana ina mirage laki moja na 20. Haijawahi guswa engene wala gear box .
Natafuta gari fuel sever iliyo katika hali nzuri pia .
Mawasiliano +255719025859. Kwa serious persons only.
 
Hiyo inatumia km/L ?
 
Umepata Asheengai Kama bado, hiyo cresta ya mwaka gani, rangi, cc, na upo mkoa gani? Kuna gari hapa very economic, cc 890 reg CH.. good condition.
 
Last edited by a moderator:
Mirage, engene, kweli umezoea latin.
 
Wanajamvi mimi ni mfanyakazi wa hospital ya serikali 'Dr '. Ninaenda shule hivyo kiuchumi sitaweza kumudu gharama.
Nina crester gx 100 namba B. Ipo katika hali nzuri sana ina mirage laki moja na 20. Haijawahi guswa engene wala gear box .
Natafuta gari fuel sever iliyo katika hali nzuri pia .
Mawasiliano +255719025859. Kwa serious persons only.

chukua 4. 5m ukanunue vitz,bt hujasea egine gan vvti au 1g
 
Ni gx 100, vvti , yr 2000, cc 1980, color black , ipo dar. Kama ni pesa 5.5, ruksa kuiona na kuijaribu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom