Bacore
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 225
- 232
habari, kama kichwa cha habari kinajieleza, hivi naweza kufanya exchange ya kiwanja kwa gari, namba kuwanzia C. mimi nina kiwanja cha 20x20 kipo kifuru,king'azi baada ya tabata kinyelezi ukiwa unaeleke mbezi, kiwanja kipo poa, umeme,barabara na maji yapo, pia kimepimwa! karibuni kwa biashara!