Tubadilike...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Call duration:
Man to Man: 0:00:45
Man to Woman: 1:45:30
Woman to Man: 0:01:15
Tafakari chukua hatua.
TUTAFILISIKA...
Tubadilike...
 
kama una kitumbua utapigiwa
 
Call duration:
Man to Man: 0:00:45
Man to Woman: 1:45:30
Woman to Man: 0:01:15
Tafakari chukua hatua.
TUTAFILISIKA...
Tubadilike...

woman to woman?
man to wife?
wife to husband?
husband to hawara? Chimbuvu to Madame B? Paloma to sosoliso? Mamndenyi to kiserengeti boy chake?
stevoh mwaga data hapa tujue utafiti wako ulikuwa ni wa kina.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
woman to woman?
man to wife?
wife to husband?
husband to hawara? Chimbuvu to Madame B? Paloma to sosoliso? Mamndenyi to kiserengeti boy chake?
stevoh mwaga data hapa tujue utafiti wako ulikuwa ni wa kina.

woman to woman:0:05:02.
Shostito hamna credit si unajua haja be' financed'
man to wife:0:02:15
kuuliza chakula, nimekumisi, ntachelewa kurudi, no elaboration coz akirudi ataelezea yote.
Wife to husband:0:00:20
usisahau kuja na mkate, alafu nipigie sina hela...
Husband to hawara: haendi mbaaali na above result ya man to woman.
Hayo mengine wajibu wahusika maana wapo na wameona maswali.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Unawagwaya eh?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…