sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,281
- 7,953
Mkuu umeanza kuleta mambo ya kusagana hapa , hebu nieleweshe hiyo njia ya kujanza dunia bila mwenzaNdio maana siku hizi hata wanawake wanaoa
Mkuu umeanza kuleta mambo ya kusagana hapa , hebu nieleweshe hiyo njia ya kujanza dunia bila mwenzaNdio maana siku hizi hata wanawake wanaoa
Kuna kuoa au kuolewa ili kuwafurahisha ndugu na marafiki.Lakini kutokuolewa/kuoa sio kosa
Sasa kama mtu hajapata mtu sahihi aoe/aolewe tu ili mradi atimize maandiko?
ha ha ha ha mkuu unamaanisha unaangalia katiba ikuambie uoeKwani kwa mujibu wa kikatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umri wa kuoa au kuolewa ni upi ?
Wapo lakini waliwapata wakiwa na wenza wao hata Kama hawajahalishwaHakuna mwenye watoto hajaolewa?
Mwanamke miaka 35 hujaolewa,unatatizo gani?
Mwanaume miaka 45 hujaoa nawe unatatizo gani?
Chukueni hatua wakuu,msijekuwa 'reject'
Siyo lazima. Ni mipangilio ya mtu.Kwani kuolewa/kuoa lazima?
Namaanisha wanawake wenye kipato wanaoa wanaume wasiokuwa na kipato ili 'couple' ikamilikeMkuu umeanza kuleta mambo ya kusagana hapa , hebu nieleweshe hiyo njia ya kujanza dunia bila mwenza
Kuna kuoa au kuolewa ili kuwafurahisha ndugu na marafiki.
OkNamaanisha wanawake wenye kipato wanaoa wanaume wasiokuwa na kipato ili 'couple' ikamilike
Wanaokuwa wabishi ndio wanaokuja kusumbua mashemeji zao na mawifi huko uzeeniSiyo lazima. Ni mipangilio ya mtu.
ha ha ha sio hivyo mkuu,viungo vya mwili vikikomaa tu utajikuta mwenyewe unatafuta mwenzaYani nikijaribu kuvaa uhusika eti niolewe ili kumfurahisha fulani picha haiji kabisa...nafikiri wapo wanaofanya hivyo
Wapo lakini waliwapata wakiwa na wenza wao hata Kama hawajahalishwa
Yeah...iko hivyoSiyo lazima. Ni mipangilio ya mtu.
ha ha ha ukiona mtu umri umeenda ajishtukii,jua ana njia mbadala.Wengine homosexuality member kuolewa au kuowa hakuwahusu.
Kuna mdada alikuwa mkali akitongozwa (hapendi wanaume)
Majuzi tumeona cctv foot (video akifanya u lesbian na mdada wa support) sijaamini ila ndio hivo.
Siku 6 leo haonekani viunga vya ofisi (kabla hata hajahukumiwa na board)
Me sijakupinga kuhusu Hilo la ndoa, me nimekupinga kua unaweza jaza dunia bila mwenzaSuala la kupata mtoto ni la dakika chache tu...huyo mwenza anaweza akawa alikuwa kwa ajili ya kutafuta mtoto tu sio ndoa
So kujaza dunia bila ndoa ni jambo la kawaida sana...sio kali ya mwaka
Kwa mtu mwenye akili iliyotulia viungo vya mwili kukomaa hakuhusiani na kuoa...unaweza kukomaa mwili na ukatafuta wa kuoa/kuolewa nae usipate na umri ukazidi kwenda tuha ha ha sio hivyo mkuu,viungo vya mwili vikikomaa tu utajikuta mwenyewe unatafuta mwenza
Wanaoa wasiokuwa na kipato mfano;viben 10 n.kBasi hiyo teknolojia ya mwanamke kuoa bado haijafika huku mtaani kwetu
Acha ujinga wwha ha ha ha mambo ya hadithi za kusadikika katika ulimwengu halisi hazina nafasi mkuu
Me sijakupinga kuhusu Hilo la ndoa, me nimekupinga kua unaweza jaza dunia bila mwenza
Kwa nini usipate mkuu...Kwa mtu mwenye akili iliyotulia viungo vya mwili kukomaa hakuhusiani na kuoa...unaweza kukomaa mwili na ukatafuta wa kuoa/kuolewa nae usipate na umri ukazidi kwenda tu